Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

Kwanza unajua fika kuwa hatukuwahi kutoa siku tisini kama unavyodai,isipokuwa tulitoa muda wa kutoka kikao mpaka kikao! Nawewe ni shahidi wapo waliotoka na si kama mnavyoeneza eti hakuna aliyetoka kabisa! Na kwakujua kuwa wapo wataogoma kutoka tukasema muda tuliotoa ukiisha tutarudi kuchukua hatua kwenye vikao,muda wa kutoka kwa hiari uliisha na tumeriudi kwenye vikao na wanashughulikiwa baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama njooni hapa mniulize

Bwa ha ha haaa Unaona JF wote Wajinga kuja hapa Kuikana Kauli uliyokuwa ukiitoa Hadaharani. Mkuu Hata Ulipokua Mbeya na Sitta, Mama Kilango, Mwakyembe na Ole sendeka Ulizungumzia Habari ya Siku Tisini. Naona sasa Imepita Mwaka Mafisafi wa Rada na Richmond wanazidi kunawiri ndani ya Lichama lenu
 
Nnauye Jr Unazungumziaje Vigogo wa Serikali na Watoto wao Kujipatia Viwanja Gezaulole huku sisi Walimu Tunaosotea Mshahara unaolingana na Posho yako ya siku Tukisshia Kuliwa 30,000 zetu za Maombi ya Viwanja. Jee Hii si Dhuluma kwa sisi Masikini?
 
Last edited by a moderator:
Nape,nape!!najua uko karibu kbsa na rais naomb mfikishie salamu zangu,mwambie aache kutoa majibu mapes kwa hoja nzito,mf.kwa walimu na madaktri,pia awashauri wanachama wenzie akina anne makinda waache kutumia ubabe bungeni,pia mkumbushe kua uku uraian hali ni mbaya sana..tunajua nia yake ilikua kutimizo ndoto zake kua rais kwa hilo katimizo,nampa hongera,mkumbushe pia maisha bora kwa kila mtanzania vipiii??mda unakimbia sana bdo miaka miwili tu!!nihayo!!
 
namaanisha Rostam unayetaka kutuaminisha kuwa ni miongoni mwa waliotoka na kuwasaidia kampeni ya igunga hajui hata hili mkuu hadi ukumbushwe!!!!
 
Mkuu Nape heshima kwako leo umenifurahisha umejitahidi sana kujibu bila kuishambulia CDM . Nami nakuuliza shwali moja tu nalo ni- vipi kuhusu Arusha ni lini utakuja kufanya mkutano wa hadhara au unapima kwanza upepo
 
Sijakwepa swali na si style yangu kukwepa maswali. Ni seme hata huyo nape wa mwaka2005 alikuwa anatukanwa sana humu, so humu hakuna shukurani nami najua isipokuwa kwa wateule wachache wa CDM nasema wachache si wote! Kwahiyo kama wana nguvu tuwaachie Chama? Na unajua maana yake?

Nape usiogope kutukanwa hii ni vita na wewe umejitoa muhanga kulipigania taifa lako,so matusi nimoja ya changamoto,hii hainatofauti na wapinzani wavyopigwa mabomu na polis kaza buti kijana.mimi binafsi si mfuasi wa matusi na siyapendi,ila kama kweli unayo nia ya dhati ya kulikomboa taifa lako kutoka mikononi mwa wakoroni weusi TAFAKARI CHUKUA HATUA bado nina matumaini wewe linda heshima yako pambana usikate tamaa
 
Nnauye Jr Unalizungumziaje swala la Mzee wa Vijisenti ambaye wewe Ulizunguka Nchi nzima kutuaminisha kwamba anashirikiana na Lowasa Kutuibia na kwamba ni Gamba linalopaswa Kuvuliwa. Je Unazungumziaje Chenge hasa baada ya Kuukwaa Uenyeketi wa Kamati ya Uchumi ya Bunge? Huoni kwamba CCM mnazidi Kukumbatia Wezi ambao Mlizunguka Nchi nzima kwa Fedha ya Walipa Kodi Kuwashtaki kwa Wananchi kwamba Mtawavua Magamba ndani ya Siku tisini?
 
Last edited by a moderator:
Umesema kuna watu walipewa miezi mitatu wajiondoe UANACHAMA WA CCM, nimekuuliza WALIPEWA HUO MUDA NA NANI NA NI KINA NANI WATU HAO?

Ni weke rekodi sawa sijauliza swali kama hilo labda wachangiaji wengi.lakini labda nikukumbushe tu hayo maneno ya miezi mitatu,siku tisini yalikuwa ni maneno ya Nape,Chiligati na Mkama.Mliokuwa mnawalenga ni Lowasa,rostam na chenge.
Hata kama utakwepa au kupinga lakini yaliandikwa na yapo vichwani kwa watanzania.
 
Nnauye Jr Wakati wa Mgomo wa Madaktari Ulinukuliwa Ukisema kwamba "CCM itwaonyesha Madaktari kwa Vitendo kwamba Serikali yake si dhaifu". Siku Mbili baada ya Kauli yako Dr. Ulimboka alitekwa, Akateswa na Akatelekezwa katika Msitu wa Pande. Mkuu Nnauye Jr Je Utatuthibishiaje sisi Watanzania kwamba Kipigo cha Ulimboka ni Utekelezaji wa Kauli za Kibabe kama zako na Pinda?
 
Last edited by a moderator:
Ni weke rekodi sawa sijauliza swali kama hilo labda wachangiaji wengi.lakini labda nikukumbushe tu hayo maneno ya miezi mitatu,siku tisini yalikuwa ni maneno ya Nape,Chiligati na Mkama.Mliokuwa mnawalenga ni Lowasa,rostam na chenge.
Hata kama utakwepa au kupinga lakini yaliandikwa na yapo vichwani kwa watanzania.

Ha ha ha Usimkumbushe Dogo hayo Maneno anajuta hata kwa Nini aliyatamka Hayo Maneno. Ni Maneno yaliyopelekea Kupigwa Marufuku kuhudhuria Kampeni za Igunga
 
Ni weke rekodi sawa sijauliza swali kama hilo labda wachangiaji wengi.lakini labda nikukumbushe tu hayo maneno ya miezi mitatu,siku tisini yalikuwa ni maneno ya Nape,Chiligati na Mkama.Mliokuwa mnawalenga ni Lowasa,rostam na chenge.
Hata kama utakwepa au kupinga lakini yaliandikwa na yapo vichwani kwa watanzania.

Kombajr,
KUANDIKWA NA KUWEPO KWENYE AKILI ZA WATU HAKUMAANISHI TUMESEMA. HEBU MWENYE USHAHIDI WA HAYA MANENO KUTOKA KWENYE KINYWA CHA HAO ULIOWATAJA AWEKE HAPA ILI TUMKOME NYANI HADHARANI
 
"Kama ni Gamba Basi Limefika Kiunoni Halivuki hata Kwa Shoka" Maneno ya Kamanda Chenge kwa Nape
 
hili sio swali ni taarifa tu kwa Nape:Mwabie JK na serikali yenu ya mbwepande kuwa,japokuwa najua kwamba wanajua ila wambie tena kuwa swala la serikali kumteka na kumtesa dr ulimboka mpaka kizazi hiki kipite serikali haiwezi kulifuta vichwani mwetu hata mfanyeje labda mformat vichwa vyetu upya tufute kila kitu tuanze upya.hata mmkamate osama kuwa ndie aliyehusika hilo hakuna kitu.hukumu ya kesi ya dr.ulimboka2015.ni hiyo tu taarifa
 
"CCM itwaonyesha Madaktari kwa Vitendo kwamba Serikali yake si dhaifu" Mkuu Hayo ni Maneno ya Nape Siku Mbili kabla Dr. Ulimboka hajafikwa na Mateso yale ya Kinyama Kabisa. Ingekuwa Nchi Nyingine Nape angekuwa anaisaidia Polisi. Lakini si kwa hawa PoliCCM waliomshangilia Lusinde akitukana halafu eti wanawashitaki akina Kitila Mkumbo.
 
Muu Nnauye Jr Katika Kampeni za Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde alitoa Matusi ya Nguoni Jukwaa ( Ushahidi Upo) lakini Polisi hawakumwita hata Kumhoji. Juzi tumeona Jeshi la Polisi limewashtaki akina Kitika eti kwa Kosa la Kutoa lugha ya Matusi. Je Wananchi Tukisema kwamba Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa Maelekezo ya CCM UTAKANA? Yaani PoliCCM? I hate CCM with all my HEART na Inapozungumziwa nazidi kuichukia zaidi
 
Last edited by a moderator:
hili sio swali ni taarifa tu kwa Nape:Mwabie JK na serikali yenu ya mbwepande kuwa,japokuwa najua kwamba wanajua ila wambie tena kuwa swala la serikali kumteka na kumtesa dr ulimboka mpaka kizazi hiki kipite serikali haiwezi kulifuta vichwani mwetu hata mfanyeje labda mformat vichwa vyetu upya tufute kila kitu tuanze upya.hata mmkamate osama kuwa ndie aliyehusika hilo hakuna kitu.hukumu ya kesi ya dr.ulimboka2015.ni hiyo tu taarifa

Taarifa imefika! Unajingine la maana kidogo?
 
Muu Nnauye Jr Katika Kampeni za Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde alitoa Matusi ya Nguoni Jukwaa ( Ushahidi Upo) lakini Polisi hawakumwita hata Kumhoji. Juzi tumeona Jeshi la Polisi limewashtaki akina Kitika eti kwa Kosa la Kutoa lugha ya Matusi. Je Wananchi Tukisema kwamba Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa Maelekezo ya CCM UTAKANA? Yaani PoliCCM? I hate CCM with all my HEART na Inapozungumziwa nazidi kuichukia zaidi
Hahahaaaaa! DAMU NA NYAMA HAZIKUKUFUNULIWA UKWELI HUO. CONGRATS!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom