safari ya jaji mkuu na utawala wa mahakama "kumjulia" hali jk

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Nimefurahi kwa maana wiki hii watanzania mumejionea jinsi mahakama zetu zinavyotumiwana serikali ya ccm. Leo tumeona jinsi KATIBU MKUU WA IKULU ANAPOJIGEUZA KUWA KARANI WA MAHAKAKAMA. Ziara ya jaji mkuu na utawala wote wa mahakama ulipomtembelea jk huko Washington "kumjulia hali". Mpango huu umesukwa Washington DC na mkulu mwenyewe akishirikiana na Uongozi wa mahakama akiwemo jaji mkuu. jiulize ilipokuwa inaamuliwa CAG achunguze Mahakama ilikuwa wapi kuiamuru isishunguze suala hilo kwani lipo mahakamani. Mtanzania siku nyingine ukisikia mwenye ushahidi apeleke mahakamani utakuwa umeelewa ni kwanini watawala wetu ni wepesi sana wa kudai mahakamani kwani hicho ndio kimekuwa kichaka chao cha kufichia maovu. jiulize inakuwaje mmoja kati ya majaji wale waliokwenda kumuona jk ndiye alitesaini amri hiyo ya mahakama na muda si mrefu tutajua zawadi atakayopewa kwa kazi hiyo walioikataa wengi.

0L7C0440.jpg
 
Yana mwisho haya. (Majaliwa wa kitabu cha Kuli).

Tiba
 
Back
Top Bottom