SAFARI YA GIZANI KUFIKA MAJALIWA...

NGOLO Jr

Member
Sep 14, 2018
12
7
Nchi yoyote ile duniani hutegeme wafanyabishara kulipa kodi ili kuborsha baazi ya huduma za kijamii
Wilaya ya kilombero inachangia pato la taiga kwa mwaka kutokana na vyanzo vyake vyake vya mapato hususani zao la mpunga.
Ila hapa zana imekuwa tofauti kwani zao moja ushuru mara mbili yani ginia la mpunga hutozwa ushuru wa Tsh 1700 mpunga huohuo hukobolewa ili kupata mchele ushuru unakuwa Tsh 3000 ukijumlisha utapata jibu kuwa zao moja ushuru unasimamia Tsh 4700.
Tanzania IFAKARA ndio wilaya inayoongoza DUNIANI kwa kutoza ushuru mkubwa kwa zao moja.
Serikali nivyema mkalitizama jambo hili kwa jicho la kipekee ukizingatia kilimo ndio ajira yenye rasilimali watu wengi zaidi na ili kumnufaisha mkulima nikumpunguzia ushuru pamoja na pembejeo ili aweze kujikimu na kilimo.Kauli ya rais ya kutokulipa ushuru chini ya tani moja imekuwa nasintofahamu au nikauli guru yenye giza mbele
Kilometa 180 miundombinu mibovu gari lenye uwezo wa kubeba tani moja haliwezi kufika,...,..........................
 
Duuuhhhhh..............
 
Back
Top Bottom