Safari ya Dodoma vipi?

Magufuli anenda dodoma. Masuala ya ujenzi yanamalizika muda c mrefu Rais anaenda. Huu sio Moto wa bua mzee. No mbele Kwa mbele dodoma hiyooooooo.
Magufuli Kwa Hilo nakuelewa Sana big up

Tofa
 
Upo Mkoa Gani Ama Nchi Gani
Mpaka Sasa Wizara Zote Zipo Dodoma
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kamaliza Kazi
acha kudanganya watu; magari ya watumishi wa umma yanapishana to and fro DSM - DOM kila siku, kwanza mnatuhumiwa kuvunja ndoa za watu nyie, mke dodoma, baba dar, watoto dar bila malezi ya mama.

Ulinzi wa mama huko uhamishoni hauna uhakika!! Unyumba kwa Bluetooth mna dhambi nyie!! hizi ndoa zimefungwa na MUNGU.
 
Back
Top Bottom