Nakumbuka tbc ilikuwa ikitangazwa sana na mtangazaji Marin Hassan sasa sijajua mkuu wetu Raisi wetu wa nchi lini atahamia idodomya we kujua watujize maana hii ni february.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mkuu, ujenzi sibado unaendelea au unataka wahamie hivyo hivyo tu?nakumbuka tbc ilikuwa ikitangazwa sana na mtangazaji marin hassan sasa sijajua mkuu wetu raisi wetu wa nchi lini atahamia idodomya we kujua watujize maana hii ni february.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kudanganya watu; magari ya watumishi wa umma yanapishana to and fro DSM - DOM kila siku, kwanza mnatuhumiwa kuvunja ndoa za watu nyie, mke dodoma, baba dar, watoto dar bila malezi ya mama.Upo Mkoa Gani Ama Nchi Gani
Mpaka Sasa Wizara Zote Zipo Dodoma
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kamaliza Kazi
Dar asikudanye mtu patamu!. Hata akihamia rasmi najua muda mwingi atautumia Dar!.Nakumbuka tbc ilikuwa ikitangazwa sana na mtangazaji Marin Hassan sasa sijajua mkuu wetu Raisi wetu wa nchi lini atahamia idodomya we kujua watujize maana hii ni february.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini aliahidi kuwa majukwaani angehamia kabla ya 2018 kuishaSubiri mkuu, ujenzi sibado unaendelea au unataka wahamie hivyo hivyo tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini aliahidi kuwa majukwaani angehamia kabla ya 2018 kuisha
😂😂😂😂Nimeahirisha. KWANI VIPI
Tatizo la Magu bwana... Anadhani Ikulu inajengwa kama nyumba za kawaida tu,within a month unaweza maliza nakuhamia...
Ikulu zina ujenzi wake bwana tofauti na ujenzi wa nyumba zakawaida... Kuna ukenzi wa njia zakusepea au kujificha president pindi mambo yakiwa hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani aliahidi kuhamia lini huko???Subiri mkuu, ujenzi sibado unaendelea au unataka wahamie hivyo hivyo tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu mwaka juzi ilikuwa nihamie. Ila nimeahirisha mpaka nitakapowaambia tena.
😂😂😂Siku hiz hataki hata kuzungumzia