Safari ya Dodoma vipi?

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Magufuli anenda dodoma. Masuala ya ujenzi yanamalizika muda c mrefu Rais anaenda. Huu sio Moto wa bua mzee. No mbele Kwa mbele dodoma hiyooooooo.
Magufuli Kwa Hilo nakuelewa Sana big up

Tofa
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,834
2,000
Upo Mkoa Gani Ama Nchi Gani
Mpaka Sasa Wizara Zote Zipo Dodoma
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kamaliza Kazi
acha kudanganya watu; magari ya watumishi wa umma yanapishana to and fro DSM - DOM kila siku, kwanza mnatuhumiwa kuvunja ndoa za watu nyie, mke dodoma, baba dar, watoto dar bila malezi ya mama.

Ulinzi wa mama huko uhamishoni hauna uhakika!! Unyumba kwa Bluetooth mna dhambi nyie!! hizi ndoa zimefungwa na MUNGU.
 

MAWAZO UJENZI

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,430
2,000
Tatizo la Magu bwana... Anadhani Ikulu inajengwa kama nyumba za kawaida tu,within a month unaweza maliza nakuhamia...

Ikulu zina ujenzi wake bwana tofauti na ujenzi wa nyumba zakawaida... Kuna ukenzi wa njia zakusepea au kujificha president pindi mambo yakiwa hovyo
Lakini aliahidi kuwa majukwaani angehamia kabla ya 2018 kuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom