Safari ya Chadema kuingia Ikulu na udikteta wanavyoipinga

Mnashindwa kuongelea uozo Wa Lumumba mnaleta propaganda za kifaransa !kwanza mtoa post unalialia hapa kama unakichaa hizo mambo tulishasahau sisi mm naona huna lamaana unaenda ktk uchaguz uko namajibu mfukon!?ungeenda ww bas maana unyumbu wenu Wa Lumumba tunaujua shame of uuu!!
 
Una elimu gani ndugu? ...
Elimu yangu haitakusaidia chochote kama tulivyo na maprofesa wengi lakini hakuna msaada wanaotupa kwenye ujenzi wa nchi! We ungejikita kuwa kichwani kwangu kuna nini labda ungepata msaada anyway unaweza ukajaribu ata kujibu maswali matatu tuuh niliyouliza hapo kwa fact?? Labda tuanzie hapo
 
UJUMBE WA KAMANDA PATRICK SOSOPI ALIOUTOA BAADA YA UCHAGUZI HUU HAPA.

Habari makamanda

Naombe tujenge chama kwa sasa uchaguzi umekwisha

Natumia fursa hii kumpongeza kaka yangu Msigwa

Nampongeza Mh Msigwa kwakuchaguliwa kuwa mkt kanda yetu

Nitafanya nae kazi kwapamoja sana ili nipate uzoefu zaidi

Wale vijana wanao tukana,kejeli na kupiga vijembe chama na viongozi wetu washughulikiwe

Sisi sote mama yetu chadema na kimeshinda chama

Tutafakari kabla ya kupost mitandaoni ili tusiwape nafasi ccm kutuchafua

Siasa sio vita ni uvumilivu,hekima,busara na utulivu katika maamuzi yatokanayo na chama

Viongozi wetu wa chama wanazo hekima kubwa ambazo vijana wengi hamzijui kupitia maamuzi haya

Ahsanteni

Imetolewa na Patrick Sosopi

23/12/2016
 
Hiyo tabia ya kususia sijui nani anaianzisha, sijui kama ilishawahi kuleta matokeo chanya.Unasusa wenzako wanakula halafu unalalamika hujashiba.
Ni aina nyingine ya siasa za kitoto

Pongezi kwa washindi, waliosusa waendelee kususia hadi shughuli za chama.Naona ule upuuzi wa kule umehamia huku.
Usishangalia kwa kuhalalisha uozo ambao itakugharimu baadaye! Anyway kilichotokea ndo people's power? au unaandika tuuh ilimradi umeandika
 
Democracy is another third war in Africa

Haya ni maswali ya uhakika yanahitaji majibu kwani yanakiacha hicho chama cha ukakasi wa hali ya juu. Yote kwa yote, kitendo cha cdm kumchukua Lowassa kuwa mgombea wake kwa kweli kiliidhalilisha cdm kuliko kitu kingine chochote. Leo hii kitendo hicho ndio kimekuwa ahueni kubwa kwa ccm. Kwa hiyo hayo yanayoendelea sasa katika hiki chama ni kama kuongeza speed ya kukiharibia chama.
 
Uko sahihi kabisa na ndio maana kuna watu wanawaona ni wapiga kelele tu na si vinginevyo, wewe uko uchi unamhimiza mwenzako avae nguo? Ndio maana nikasema wana mpango kazi wanatekeleza sasa hayo mengine hayawahusu, hata ikitokea makosa makubwa ndani yao hawatayasemea kwani sio mpango kazi wao, wamekubaliana kupinga tu. Unejiuliza ile tumbua ya mbeya juzi? Yaani mwenyekiti katengua na kasimika kwa maslahi ya chama.
Tena kwa bahati mbaya aliyemteua ni mzee wa CCM kindakindaki wa muda mrefu na alikuwa mfuasi wa mamvi! Lakini cha kushangaza hakuna wa kuhoji imepigwa kimyakimya hiyo ndio demokrasia yetu waafrika· Halafu unasikia Tundu lisu analalamika kwenye media hii nchi inaongozwa kidikteta je chama chako kinaongozwa kwa kufuata misingi ya demokrasia???
 
Rejea zitto alivyolazimishwa kutoa jina lake ili mbowe agombee pekeake , rejea kafulila alivyoshinda wenyekiti bavicha akipigwa chini rejea habibu mchange alivyoshinda wenyekiti bavicha akipigwa chini akapewa heche rejea Dk wilibord slaaa alivyokijenga chama akatoswa dakika za majeruhi still wewe bado unaendela kupanua vidole viwili my friend acha huo mchezo panua akili ******ndio maana mnaitwa NYUMBU***""
 
Usishangalia kwa kuhalalisha uozo ambao itakugharimu baadaye! Anyway kilichotokea ndo people's power? au unaandika tuuh ilimradi umeandika
Sishangilii ndugu ila hii tabia ya Kususa sidhani kama imewahi kuwa jibu.... Hivi hao waliosusa wangempigia kura ya hapana Mh.Msigwa hudhani kama ingekuwa bora.

Vyovyote iwavyo napenda Demokrasia lakini napenda sana njia za kuifikia Demokrasia iwe sahihi.Hiyo ya kususa imetoa majibu hasi kwenye Bunge la katiba uchaguzi wa Zanzibar hata ule wa CUF kwenye kuamua hatma ya Ndugu Lipumba nakereka kuona tena inatumika licha ya huko nyuma kushindwa.
 
Haya ni maswali ya uhakika yanahitaji majibu kwani yanakiacha hicho chama cha ukakasi wa hali ya juu. Yote kwa yote, kitendo cha cdm kumchukua Lowassa kuwa mgombea wake kwa kweli kiliidhalilisha cdm kuliko kitu kingine chochote. Leo hii kitendo hicho ndio kimekuwa ahueni kubwa kwa ccm. Kwa hiyo hayo yanayoendelea sasa katika hiki chama ni kama kuongeza speed ya kukiharibia chama.
Mkuu waga wewe ni mtu ambaye nampa heshima sanaa humu jamvini kwa kutenganisha ukweli na uongo kwa hilo big up sanaa mkuu waga huweki itikadi kwenye mambo yenye maslahi ya taifa.

Turudi kwenye mada yetu: Ni kweli CCM inapaswa kupumzika iachie ngazi na wenye maono mapya nao waingie! Je kuna mbadala wa CCM hapo ndipo kigugumizi kinatokea kwa sababu yaleyale yaliopo CCM ndio tunayaona upande lakini cha ajabu hayakemewi na mtu au taasisi yoyote ndani ya chama! Je hii ni demokrasia ya kweli?

2015 tushasahau kuwa lowasa basi hakuwa fisadi kama walivyotuaminisha basi kwa kuwa kile kidonda kilikuwa kinaelekea kupona ilikuwa haina haja ya kukitonesha kama walivyofanya kuhalalisha mambo haramu kama haya bado mimi napatwa na wasiwasi mkubwa ata kupotea kwa Ben Sanane!

Ifahamike Ben hakuwa mfuasi wa Lowasa kivile na inasemekana kuna wakati alikuwa anampinga hadharani bila kumung'unya maneno na effects za kuwapinga mabosi au watu wenye hulka za utawala tunajua impacts zake Halafi na ukimya wa mwenyekiti wa chama inatia shaka sanaaa anyway " DEMOCRACY IS ANOTHER THIRD WAR IN AFRICA"
 
Mnashindwa kuongelea uozo Wa Lumumba mnaleta propaganda za kifaransa !kwanza mtoa post unalialia hapa kama unakichaa hizo mambo tulishasahau sisi mm naona huna lamaana unaenda ktk uchaguz uko namajibu mfukon!?ungeenda ww bas maana unyumbu wenu Wa Lumumba tunaujua shame of uuu!!
Huna akili ndio maana uwezi kufikiria athari za haya mambo yanayotea! Ila ngojea nikupe fumbo hili "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
 
UJUMBE WA KAMANDA PATRICK SOSOPI ALIOUTOA BAADA YA UCHAGUZI HUU HAPA.

Habari makamanda

Naombe tujenge chama kwa sasa uchaguzi umekwisha

Natumia fursa hii kumpongeza kaka yangu Msigwa

Nampongeza Mh Msigwa kwakuchaguliwa kuwa mkt kanda yetu

Nitafanya nae kazi kwapamoja sana ili nipate uzoefu zaidi

Wale vijana wanao tukana,kejeli na kupiga vijembe chama na viongozi wetu washughulikiwe

Sisi sote mama yetu chadema na kimeshinda chama

Tutafakari kabla ya kupost mitandaoni ili tusiwape nafasi ccm kutuchafua

Siasa sio vita ni uvumilivu,hekima,busara na utulivu katika maamuzi yatokanayo na chama

Viongozi wetu wa chama wanazo hekima kubwa ambazo vijana wengi hamzijui kupitia maamuzi haya

Ahsanteni

Imetolewa na Patrick Sosopi

23/12/2016
Hawa ndio wanamajeruhi wa demokrasia tusipende kuwakatisha tamaa. Anajua kabsaa uharamia umefanyika tena wa hali ya juu ila ametake easy kuokoa chama.

Maana angehoji pengine angeundiwa mizengwe na kuitwa msaliti na mambo mengine tuuh. Ila kama chama inatakiwa kujitathmini upya hasa makao makuu ili kujijenga kwenye misingi mizuri ya uwajibikaji.
 
UJUMBE WA KAMANDA PATRICK SOSOPI ALIOUTOA BAADA YA UCHAGUZI HUU HAPA.

Habari makamanda

Naombe tujenge chama kwa sasa uchaguzi umekwisha

Natumia fursa hii kumpongeza kaka yangu Msigwa

Nampongeza Mh Msigwa kwakuchaguliwa kuwa mkt kanda yetu

Nitafanya nae kazi kwapamoja sana ili nipate uzoefu zaidi

Wale vijana wanao tukana,kejeli na kupiga vijembe chama na viongozi wetu washughulikiwe

Sisi sote mama yetu chadema na kimeshinda chama

Tutafakari kabla ya kupost mitandaoni ili tusiwape nafasi ccm kutuchafua

Siasa sio vita ni uvumilivu,hekima,busara na utulivu katika maamuzi yatokanayo na chama

Viongozi wetu wa chama wanazo hekima kubwa ambazo vijana wengi hamzijui kupitia maamuzi haya

Ahsanteni

Imetolewa na Patrick Sosopi

23/12/2016
Thnxs sosopi!
 
Rejea zitto alivyolazimishwa kutoa jina lake ili mbowe agombee pekeake , rejea kafulila alivyoshinda wenyekiti bavicha akipigwa chini rejea habibu mchange alivyoshinda wenyekiti bavicha akipigwa chini akapewa heche rejea Dk wilibord slaaa alivyokijenga chama akatoswa dakika za majeruhi still wewe bado unaendela kupanua vidole viwili my friend acha huo mchezo panua akili ******ndio maana mnaitwa NYUMBU***""
Mkuu: Kwanza naomba ujue kuwa mimi siyo mwanachama wa chama chochote kile mimi ni mwanaharakati asiyefungamana na upande wowote ule.

Ni majukumu yangu kuelimisha umma na kuweka ukweli pasipokuwa na unafiki, chuki wala uzandiki ili kujenga taifa imara.
 
Huwa kila cku tunaongea hapa tatizo la chadema ni Mbowe basi hamna kingine ndo mana mim ni mpinzan ambae bado imani yang ipo CCM mpaka mbowe na wachaga wenzie wagawe madaraka sawa .
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Sishangilii ndugu ila hii tabia ya Kususa sidhani kama imewahi kuwa jibu.... Hivi hao waliosusa wangempigia kura ya hapana Mh.Msigwa hudhani kama ingekuwa bora.

Vyovyote iwavyo napenda Demokrasia lakini napenda sana njia za kuifikia Demokrasia iwe sahihi.Hiyo ya kususa imetoa majibu hasi kwenye Bunge la katiba uchaguzi wa Zanzibar hata ule wa CUF kwenye kuamua hatma ya Ndugu Lipumba nakereka kuona tena inatumika licha ya huko nyuma kushindwa.
Kwa utaratibu ukishaona tuuh mchakato wa uchaguzi umegubikwa na utata au ujanja ujanja ambao hautakuwa na muafaka wa kidemokrasia kama hili la kuletwa kwa wapiga kura hewa ambao hawajulikani wametoka wap? Na nani amewaleta? Ni bora ujiengue kishujaa ukae pembeni!

Ni bora ukae chini utulie zako kuliko kwenda kuhalalisha haramu! Ni dhahiri kuwa ata wangeenda kupiga kura wasingepata matokeo halali kwa sababu mchakato ulishaghubikwa na utata ata matokeo pengine yalishapikwa na hapo ndipo unaona waafrika " we have still have long journey to reach even a half of true democracy " kama mtu ambaye unamtegea kukupigania maslahi yako kumbe akigeuka nyuma ni Fisi ambaye ana njaa anayetafuta kondoo walipo.
 
Hivi Mwenyekiti wa CCM Taifa alishindanishwa na akina nani kwenye uchaguzi au nae alikabidhiwa tu
Chadema ni chama ambacho kinajipambanua kuwa ni waadilifu na wazalendo kwanini wafwate nyendo za ccm ambao wanasema ni mafisi???

Ni bora CCM kina utaratibu wao maalum wa kidemokrasia kuwa baada ya kila awamu ya utawala wanaachiana kiroho safi sasa tunashindwa kuwaelewa wenzetu kama uchaguzi wa ukanda tuuh ndo unaghubikwa na utata na uharamia namna hii bila ata mwanachama au taasisi ya ndani ya chama kuhoji kisa tuuh amri imetoka juu! Je uchaguzi wa kitaifa ni ya kidemokrasia au ndiyo yale yale ya Jecha na Maalim??

"Democracy is another third war in Afrika"
 
Back
Top Bottom