Safari ya Chadema kuingia Ikulu na udikteta wanavyoipinga

simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Ndugu wanajamvi;

Kama kawaida yangu kuongea na kuandika ukweli kuhusu mambo yenye maslahi mapana katika taifa letu, Kama mada inavosema CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa Tanzania ambacho kinajinasibu kushika hatamu 2020 na kuongoza kidemokrasia lakini kwangu mimi bado naona kama kuna wingu nene limetanda hapo chamani, ebu tuangalia mambo yafuatayo;

1:KILICHOTOKEA UCHAGUZI KANDA YA NYASA NI DEMOKRASIA WANAYOIHUBIRI???

Ni vyema ikaeleweka kuwa hiki chama kimejipambanua kuupinga utawala wa awamu ya tano kwa kile kinachoitwa "Udikteta" au utawala ambao haufuati demokrasia yawezekana ni kweli au si kweli! Lakini na wao wanajitawala kidemokrasia???

Tuchukulie mfano mathalani kilichotokea Uchaguzi kanda ya nyasa;

1. Wajumbe halali =98
2. Waliosusia =28
3. Waliopiga kura =106
4. Kura za ndio kwa msigwa =62
5. Kura za hapana =44

Maswali tata kutoka kwenye hizo data zetu!!

1. Wajumbe halali ni 98 je hawa waliongezeka wametoka wap? Na nani kawaleta?

2. Ni kwanini P. Ole. Sosopi akatwe siku ya kupiga kura? Is this democracy? Waliomkata wana hofu gani na huyu kijana?

3. Je kuna picha gani gani kama waliomkataa Msigwa ni 44 na waliosusa ni 28 ambao jumla yao ni 72?? Wakati msigwa jumla ana kura 62!!!

4. Ni vigezo vipi vimetumika kumkata P. Ole. Sosopi?? Na vigezo vipi vimetumika kumhalalisha P. Msigwa??

5. Ni Nani aliyemkata P. Ole. Sospi?

6. Je uchaguzi ulikuwa wa huru na haki? Wasimamizi wa uchaguzi ni akina nani? Na wanapatikaneje hawa wasimamizi wa uchaguzi?

7. Je ni kwanini hakuna kuhoji matokeo ya uchaguzi ndani ya chama kutokana na katiba ya chama? Hamuoni aibu mnataka kuhoji uchaguzi wa rais kama nyie wenyewe matokeo ya ndani ya chama hakuna kuhoji?

maswali yangu yameishia hapo lakini naomba tujikumbushe yafuatayo;

:UCHAGUZI VITI MAALUM CHADEMA:
Ni vyema tujikumbushe kwenye huo huo ukanda kulitokea uchafu na kuhalalishwa na makao makuu kwenye uteuzi wa viti maalum wengine walioteuliwa hawajulikani ata kwenye uongozi wa wilaya, mkoa na ata kanda lakini makao makuu yakabariki tuuh.

Majina yalikuwa mageni kabsaa kwenye uongozi wa wilaya na mkoa kwa sababu Mkoa wenyewe walituma jina makao makuu lakini cha ajabu na cha kusikitisha Mtu anayepewa Ubunge wa viti maalum siyo Mwenyeji wa huo mkoa bila kutolea ufafanuzi ata kidogo! Je hii ndo demokrasia wanayoitaka chadema?

:KURA ZA MAONI UBUNGE:
Hapa kulikuwa na manung'uniko mengi na yenye ushaidi wa kutosha kuwa baadhi ya majina yalitoka moja kwa moja kwa Mwenyekiti wa chama ikikuwa awe ameshinda au hajashinda ni lazima atangazwe? Is this people's power?

Wengine walipitishwa kwa rushwa, na hili mhe. SUGU angalau aliifiksha makao makuu na kuweka ushaidi lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa Makao Makuu wameufyata kama vile hawajui kilichotokea.

: HAKUNA TAASISI AU WATU KUHOJI UHARAMIA HUU: JE HII NI DEMOKRASIA??

I mean taasisi za ndani ya chama like BAVICHA & BAWACHA sijawahi sikia wakihoji uharamia wowote ndani ya chama! Kuna nini nyuma ya pazia?? Au ata personal feeling itokee basi iwe individual! Hamna niliyesikia akihoji uharamia lakini kuna watu wamejitolea kufa na kupona kwenye chama hiki tusiwakatishe tamaaa.

Yangu ni hayo tuuh kwa leo.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na Mwanaharakati wa kweli TZ.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,442
2,000

simon mato taasisi zipo. Kama umekerwa nenda PCCB. Na pale mnapokuwa na wasi wasi na mgombea, ni muhimu kuwahusisha usalama wa taifa ili kujua nyendo za mhusika kabla ya kugombea. Ila tatizo lenu nyie huwa mnadhani PCCB na usalama au majeshi ni vya CCM, kumbe ni vya watanzania na vipo kwa mujibu wa sheria. Hivyo suala kama hilo pelekeni PCCB wachunguze.
 
Katika bandiko langu nimemaanisha taasisi za ndani ya chama kama BAVICHA n.k ni kwanini wakae kimya kuhalalisha uharamia wote huu? Ila inapotokea upande wa pili tunaona ni dhambi kubwa sanaa, demokrasia ianzie nyumbani tena chumbani kabsaa kabla haijavuka kwenda nje ndipo nawewe unapata nguvu kubwa ya kuungwa mkono la suvyo tutahubiri sanaaa
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,109
2,000
simon mato taasisi zipo. Kama umekerwa nenda PCCB. Na pale mnapokuwa na wasi wasi na mgombea, ni muhimu kuwahusisha usalama wa taifa ili kujua nyendo za mhusika kabla ya kugombea. Ila tatizo lenu nyie huwa mnadhani PCCB na usalama au majeshi ni vya CCM, kumbe ni vya watanzania na vipo kwa mujibu wa sheria. Hivyo suala kama hilo pelekeni PCCB wachunguze.
Akili za kitoto kweli hizi, unaelewa Usalama wa taifa unavyowajibika au unaropoka tuu!!
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,106
2,000
Hutaeleweka kwa bahati mbaya sana, hawa wameshajichagulia cha kufanya tayari na wanatekeleza mpango kazi wao.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,442
2,000
Akili za kitoto kweli hizi, unaelewa Usalama wa taifa unavyowajibika au unaropoka tuu!!
Ufipa mnaishi na kaburi la marehemu chadema, vipi mmelijengea au bado mnasubiri michango toka kwa memba wenu wale wa milembe ya dodoma?
 
RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,866
1,500
We will cross the bridge when we get there... kwa sasa tuongelee mustakbali wa nchi yetu kiuchumi, kijamii na kisiasa ... Is this how we are supposed to live our lives ?....

Ndugu wanajamvi;

Kama kawaida yangu kuongea na kuandika ukweli kuhusu mambo yenye maslahi mapana katika taifa letu, Kama mada inavosema CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa Tanzania ambacho kinajinasibu kushika hatamu 2020 na kuongoza kidemokrasia lakini kwangu mimi bado naona kama kuna wingu nene limetanda hapo chamani, ebu tuangalia mambo yafuatayo;

1:KILICHOTOKEA UCHAGUZI KANDA YA NYASA NI DEMOKRASIA WANAYOIHUBIRI???

Ni vyema ikaeleweka kuwa hiki chama kimejipambanua kuupinga utawala wa awamu ya tano kwa kile kinachoitwa "Udikteta" au utawala ambao haufuati demokrasia yawezekana ni kweli au si kweli! Lakini na wao wanajitawala kidemokrasia???

Tuchukulie mfano mathalani kilichotokea Uchaguzi kanda ya nyasa;

1. Wajumbe halali =98
2. Waliosusia =28
3. Waliopiga kura =106
4. Kura za ndio kwa msigwa =62
5. Kura za hapana =44

Maswali tata kutoka kwenye hizo data zetu!!

1. Wajumbe halali ni 98 je hawa waliongezeka wametoka wap? Na nani kawaleta?

2. Ni kwanini P. Ole. Sosopi akatwe siku ya kupiga kura? Is this democracy? Waliomkata wana hofu gani na huyu kijana?

3. Je kuna picha gani gani kama waliomkataa Msigwa ni 44 na waliosusa ni 28 ambao jumla yao ni 72?? Wakati msigwa jumla ana kura 62!!!

4. Ni vigezo vipi vimetumika kumkata P. Ole. Sosopi?? Na vigezo vipi vimetumika kumhalalisha P. Msigwa??

5. Ni Nani aliyemkata P. Ole. Sospi?

6. Je uchaguzi ulikuwa wa huru na haki? Wasimamizi wa uchaguzi ni akina nani? Na wanapatikaneje hawa wasimamizi wa uchaguzi?

7. Je ni kwanini hakuna kuhoji matokeo ya uchaguzi ndani ya chama kutokana na katiba ya chama? Hamuoni aibu mnataka kuhoji uchaguzi wa rais kama nyie wenyewe matokeo ya ndani ya chama hakuna kuhoji?

maswali yangu yameishia hapo lakini naomba tujikumbushe yafuatayo;

:UCHAGUZI VITI MAALUM CHADEMA:
Ni vyema tujikumbushe kwenye huo huo ukanda kulitokea uchafu na kuhalalishwa na makao makuu kwenye uteuzi wa viti maalum wengine walioteuliwa hawajulikani ata kwenye uongozi wa wilaya, mkoa na ata kanda lakini makao makuu yakabariki tuuh.

Majina yalikuwa mageni kabsaa kwenye uongozi wa wilaya na mkoa kwa sababu Mkoa wenyewe walituma jina makao makuu lakini cha ajabu na cha kusikitisha Mtu anayepewa Ubunge wa viti maalum siyo Mwenyeji wa huo mkoa bila kutolea ufafanuzi ata kidogo! Je hii ndo demokrasia wanayoitaka chadema?

:KURA ZA MAONI UBUNGE:
Hapa kulikuwa na manung'uniko mengi na yenye ushaidi wa kutosha kuwa baadhi ya majina yalitoka moja kwa moja kwa Mwenyekiti wa chama ikikuwa awe ameshinda au hajashinda ni lazima atangazwe? Is this people's power?

Wengine walipitishwa kwa rushwa, na hili mhe. SUGU angalau aliifiksha makao makuu na kuweka ushaidi lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa Makao Makuu wameufyata kama vile hawajui kilichotokea.

: HAKUNA TAASISI AU WATU KUHOJI UHARAMIA HUU: JE HII NI DEMOKRASIA??

I mean taasisi za ndani ya chama like BAVICHA & BAWACHA sijawahi sikia wakihoji uharamia wowote ndani ya chama! Kuna nini nyuma ya pazia?? Au ata personal feeling itokee basi iwe individual! Hamna niliyesikia akihoji uharamia lakini kuna watu wamejitolea kufa na kupona kwenye chama hiki tusiwakatishe tamaaa.

Yangu ni hayo tuuh kwa leo.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na Mwanaharakati wa kweli TZ.
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Hutaeleweka kwa bahati mbaya sana, hawa wameshajichagulia cha kufanya tayari na wanatekeleza mpango kazi wao.
Then kama ni hivyo bora tusiwasikie wakipaza sauti zao kudai demokrasia wakati wao wenyewe hakuna demokrasia miaka nenda miaka rudi wimbo ni ule ule. Usimnyoshee Mwenzako kidole kuwa acha wizi kumbe wewe ni Jambazi sugu.
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
...Nadhani kuna wengi zaidi wanaishi kama mashetani bila hatia ... "Watumishi wa Umma"
Sawa kilio cha wengi ni kuwa utawala wa awamu ya tano inatawala bila kujali demokrasia je na ya CHADEMA tuyaieteje? Ubakaji wa demokrasia au??

Tukirudi kwenye hali ya maisha of course maisha ni magumu mtaani lakini tunapatwa na mashaka kama CHADEMA wangeingia madarakani pengine mambo yangekuwa hivihivi au pengine yangekuwa magumu zaidi mfano mathalani tunachukulia hili kwenye vita dhidi ya demokrasia.
 
Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,031
2,000
Hiyo tabia ya kususia sijui nani anaianzisha, sijui kama ilishawahi kuleta matokeo chanya.Unasusa wenzako wanakula halafu unalalamika hujashiba.
Ni aina nyingine ya siasa za kitoto

Pongezi kwa washindi, waliosusa waendelee kususia hadi shughuli za chama.Naona ule upuuzi wa kule umehamia huku.
 
RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,866
1,500
Sawa kilio cha wengi ni kuwa utawala wa awamu ya tano inatawala bila kujali demokrasia je na ya CHADEMA tuyaieteje? Ubakaji wa demokrasia au??

Tukirudi kwenye hali ya maisha of course maisha ni magumu mtaani lakini tunapatwa na mashaka kama CHADEMA wangeingia madarakani pengine mambo yangekuwa hivihivi au pengine yangekuwa magumu zaidi mfano mathalani tunachukulia hili kwenye vita dhidi ya demokrasia.
Una elimu gani ndugu? ...
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,106
2,000
Then kama ni hivyo bora tusiwasikie wakipaza sauti zao kudai demokrasia wakati wao wenyewe hakuna demokrasia miaka nenda miaka rudi wimbo ni ule ule. Usimnyoshee Mwenzako kidole kuwa acha wizi kumbe wewe ni Jambazi sugu.
Uko sahihi kabisa na ndio maana kuna watu wanawaona ni wapiga kelele tu na si vinginevyo, wewe uko uchi unamhimiza mwenzako avae nguo? Ndio maana nikasema wana mpango kazi wanatekeleza sasa hayo mengine hayawahusu, hata ikitokea makosa makubwa ndani yao hawatayasemea kwani sio mpango kazi wao, wamekubaliana kupinga tu. Unejiuliza ile tumbua ya mbeya juzi? Yaani mwenyekiti katengua na kasimika kwa maslahi ya chama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom