Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,834
Habari zenu ndugu zangu tuliondoka Leo kwa maombi kuelekea Burundi na muda huu tumefika Kigoma Mjini kupata chakula na kurelax, tuliondoka jiji la Dar Es Salaam saa kumi na moja asubuhi
Ila watu wa huku ni wacheshi sana ila wana hali ngumu ya maisha, mwonekano na mavazi yao ni ishara ya aina ya kipato walichonacho, mlo mmoja au miwili kwa siku.
Waha wote mbarikiwe kwa upendo wenu ila baada ya saa moja yaani saa tatu kamili tunasepa.