Safari ya Anne Kilango Malecella yaiva kuliaga Bunge

Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka kiwanda ka Tangawizi ambako hakapo. Pamoja na hayo anakabiliwa na matatizo mengi ya barabara mbovu, elimu kushuka kwa kasi, zao la mpunga kuporomoka, zahanati kushindwa hata kufunga vidonda amekuwa vuvuzela na haonekani jimboni.

Wakazi wa Same wanamtakia maisha mema popote alipo na wanatamani 2015 ifike leo.

Upande wa pili Mathayo anaonekana kakubali matokeo kwani hata kwao haendi tena.

Chief Mkwawa Wa Kalenga
Kwenye pita pita zake za kukagua majimbo

Hicho anachokiita kiwanda cha tangawizi kimesimama hakifanyi kazi.pia kiliwakopa wakulima mazao yao hakijawalipa hadi leo.Yaani huyo mama hana maana.
 
Aondoke tu huyu mama. ana kelele nyingi sana lakini kiutendaji hana kitu kabisa. Hata uzalendo wake nina mashaka nao maana yuko radhi kuhatarisha maslahi ya taifa ili kulinda maslahi ya chama chake. Hafai kabisa kuwa kiongozi maana kwake chama mbele taifa nyuma. Watu kama huyu mama ni hatari sana. Ni hatari sana kufanya kazi na mnafiki maana atajifanya ana uchungu na nchi yake lakini hakuna kitu. Huyu mama nilikuwa namfagilia sana kabla sijamfahamu vizuri, lakini baada ya kumfahamu, nimegundua hafai kabisa hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.
 
Mwenye kujua zaidi atujuze eti baada ya kukwapua pesa za babu machela na kutokomea kwenda dom pale moro alipigwa roba wakakomba zote na ile chakula ya mzee wakamega???Nahitaji msaada wa kujua tu jamani!!!kha,mama ana mapovu kishenzi.
 
may god bless all tanzanian people,mtachi wa masikini ni ngufu sake mwenyewe,kiwanda cha tangawizi na mengine mengi ya huhyo mama kilango ni wisi mtupu,kelele mingi sana kumbe danganya bhatu.hiyo mama mizi
 
Aondoke tu huyu mama. ana kelele nyingi sana lakini kiutendaji hana kitu kabisa. Hata uzalendo wake nina mashaka nao maana yuko radhi kuhatarisha maslahi ya taifa ili kulinda maslahi ya chama chake. Hafai kabisa kuwa kiongozi maana kwake chama mbele taifa nyuma. Watu kama huyu mama ni hatari sana. Ni hatari sana kufanya kazi na mnafiki maana atajifanya ana uchungu na nchi yake lakini hakuna kitu. Huyu mama nilikuwa namfagilia sana kabla sijamfahamu vizuri, lakini baada ya kumfahamu, nimegundua hafai kabisa hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.

Haswaaa
 
Hapo Mwanzo palikuwepo Kingunge, Naye Kingunge alikuwa Mungu, hakuna kilichofanyika pasipo yeye. Kingunge alimzaa Anne Kilango, naye Kilango akamzaa Nape, ndugu yake Mwigulu, ndugu yake Kigwangala. Pasipo wao hakuna kilichifanyika!
 
Back
Top Bottom