Safari ya Anne Kilango Malecella yaiva kuliaga Bunge

acha ale unafiki wake na lowassa atawashughulikia saana na ujinga wenu kuwa heri chama kuliko taifa
 
Anavyoongea kwa kufoka bungeni utafikiri akitoka hapo anaenda kuwafungulia mashtaka hao anaowagombeza, kwa ujumla tumechoka kusikia sauti za kupayuka payuka bungeni uku mkiyafanya hayo hayo mnayoyazungumza kwa kelele bungeni.

mbaki mkijua kwamba watanzania sio wadanganyika tena kama mlivyokua mnawachukulia poaaaaaa tuuu hapo zamani, jamani wamewachoka, Bibi ANNA enough is enough.
 
Anne hana tofauti na akina Zitto na Slaa ambao midomoni ni extreme anticorruptionists but internally wananuka rushwa.
Mkuu jifunze kujiheshimu, Dr. Slaa hajawahi kuwa na kashfa yoyote ya rushwa na wala sio mnafiki kama mama Anne Kilango.
 
Huyu mama kilango kuna tetesi kuwa anaendekeza sana ushirikina, tena hasa kwenye mambo ya siasa na ndoa.
 
Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka kiwanda ka Tangawizi ambako hakapo. Pamoja na hayo anakabiliwa na matatizo mengi ya barabara mbovu, elimu kushuka kwa kasi, zao la mpunga kuporomoka, zahanati kushindwa hata kufunga vidonda amekuwa vuvuzela na haonekani jimboni.

Wakazi wa Same wanamtakia maisha mema popote alipo na wanatamani 2015 ifike leo.

Upande wa pili Mathayo anaonekana kakubali matokeo kwani hata kwao haendi tena.

Chief Mkwawa Wa Kalenga
Kwenye pita pita zake za kukagua majimbo

Najenga taswira ya jinsi ya thread yako itakavyokuwa siku Kilango akisema yeye CCM basi anakuja CDM.
 
Najenga taswira ya jinsi ya thread yako itakavyokuwa siku Kilango akisema yeye CCM basi anakuja CDM.

Ninaelewamaana ya demokrasiana siamini undumilakuwili,na siaminiwanaohama vyama kwa ajiliya vyeo.Kadi yangu Tangia ni zaliwa ni ya CDM tu. Ukishindwa kuelewa sera na katiba unakuwa na tabia za kuhamahama. CDM hamhitaji Anne Kilango ni mnafiki sana. na siwezi kumfagilia akihamia abakie CCM atulie .
 
Ukipinga UFISADI umeipinga CCM! Hukumu yako ni kwenye sanduku la kura haraka kwenye uchaguzi unaofuata.
 
Kubwa zaidi ni baada ya kushindwa katika harakati zake za kutaka kuwa Mwenyekiti wa UWT, Sofia Simba na genge lake watahakikisha hapati uteuzi wa CC na NEC kugombea ubunge tena wala cheo chochote cha kisiasa,
Kwa kifupi ni kwamba safari ya kisiasa ya ANne kilango Malecela imefikia ukingoni, na amesafiri mbali sana kisiasa from un unknown quantity, to Mwanamke jasiri akapewa tuzo na wamarekani, to a visionary anti-ufisadi firebrand, then she hit the apex akakumbuka kwamba if you can not fight them , you join them; akarudi kwenye kundi akawa Ufisadi apologist and a CCM zealot cum Vuvuzela wa kuzomea zomea kila kinachosemwa na CDM bungeni kiwe na mantiki au hakina yeye ni midomo juu!! no wonder kusikia wananchi wa Same Mashariki sasa wamegundua ukweli kuhusu mbunge wao wanataka mabadiliko.
 
Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka kiwanda ka Tangawizi ambako hakapo. Pamoja na hayo anakabiliwa na matatizo mengi ya barabara mbovu, elimu kushuka kwa kasi, zao la mpunga kuporomoka, zahanati kushindwa hata kufunga vidonda amekuwa vuvuzela na haonekani jimboni.

Wakazi wa Same wanamtakia maisha mema popote alipo na wanatamani 2015 ifike leo.

Upande wa pili Mathayo anaonekana kakubali matokeo kwani hata kwao haendi tena.

Chief Mkwawa Wa Kalenga
Kwenye pita pita zake za kukagua majimbo
i hate this woman.....mnafiki sana huyu mama.....bora wamemtosa UWT......kwa tz ya sasa viongozi kama huyu mama hawafai kabisa.....Hata huyo simba aliyeshinda wote wabovu...hawatufai tz....lakini tufanyeje......ndo ccm hiyo...a bunch of losers.....
 
Mafisadi wana nguvu bwana. Wanatoa mmoja-mmoja. Selelii yuko wapi? Sasa ni zamu ya Kilango..................
 
Apumzike kwa amani nitamkumbuka kwa kusema" mh spika patachimbikaaa"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Vocal nyingi bila ya ujumbe... mwanzo alikuwa na kumbukumbu ya kubakwa ...sasa hivi anawakumbukia jamaa walivyo mmudu vyema si kale kazee kameshajichokea...
 
Mkuu jifunze kujiheshimu, Dr. Slaa hajawahi kuwa na kashfa yoyote ya rushwa na wala sio mnafiki kama mama Anne Kilango.

Kashfa yakufisadi mradi wa maji karatu KAVIWASU wa zaidi ya sh million 400 sio kashfa eeeh pole sana plus million 140 alizokwapua ruzuku ya watanzania haya yatamuhukumu kokote atakakoenda.
 
Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka kiwanda ka Tangawizi ambako hakapo. Pamoja na hayo anakabiliwa na matatizo mengi ya barabara mbovu, elimu kushuka kwa kasi, zao la mpunga kuporomoka, zahanati kushindwa hata kufunga vidonda amekuwa vuvuzela na haonekani jimboni.

Wakazi wa Same wanamtakia maisha mema popote alipo na wanatamani 2015 ifike leo.

Upande wa pili Mathayo anaonekana kakubali matokeo kwani hata kwao haendi tena.

Chief Mkwawa Wa Kalenga
Kwenye pita pita zake za kukagua majimbo
huwa anajifanyaga kuongea kwa hisia na kujionyesha eti kama ana machungu..lakini hamna kitu kumbe ni walewale...GAMBA..Ukiwa nyoka ni nyoka tu..hauwezi kuwa nyoka ukajibadilisha kuwa chura
 
Huyu maza alinifurahisha 2010 wakati wa kampeni baada ya kuwaahidi wana CCM eti ataweka kambi moshi mjini kun'goa ndesa pesa; maza ni msanii.

Shipa lililowashindaga wakongwe - maza hata akihamia hapo milele hawezi kukomboa hata kata moja.
 
Back
Top Bottom