donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
.
kila unapotupia picha ya kileo lazima pembeni kuwe na chupa ya maji safi, isije ukawa unatangulia kupiga gongo halafu unasuuzia na bia nina mashaka kama kweli kwenye chupa ya maji ni maji kweli au.........
Haaa haaaa hivi gongo inapatikanakila unapotupia picha ya kileo lazima pembeni kuwe na chupa ya maji safi, isije ukawa unatangulia kupiga gongo halafu unasuuzia na bia nina mashaka kama kweli kwenye chupa ya maji ni maji kweli au.........
hela yako tu mkuu hata ukitaka dumu la lita 20 unapata.Haaa haaaa hivi gongo inapatikana
Tamu saanaBia yngu milele
Ova
Thanks dadakeeHabari yako chalii.... Naona mambo ya red carpet, mgolole mezani... Na mambo ya Kamojaa Tuu....
Nice sitting room, cheers.
Hahahaha we jamaa unanichekesha sanakila unapotupia picha ya kileo lazima pembeni kuwe na chupa ya maji safi, isije ukawa unatangulia kupiga gongo halafu unasuuzia na bia nina mashaka kama kweli kwenye chupa ya maji ni maji kweli au.........
Unataka gredi gani mkuu? Namba moja imekua adimu kidogoHaaa haaaa hivi gongo inapatikana
Mkuu hii ndio kinywaji pendwa yangu ila sometimes nkiwa na watu wa heshima hivi au ndugu inabd nizuge na castle liteNmeinywa bia hyo kwa miaka mingi Bila kubadili
Ova