Elections 2010 Safari ndefu ya ukombozi imeanza Chadema yagonga rasmi milango ya NEC

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando amewasilisha rasmi NEC barua ya kupinga matokeo.

Hatua zilizochukuliwa/tutakazochukua ni:

1. Kwenda NEC - (barua imewasilishwa jana)
2. Tunakwenda kueleza Nchi wahisani ambazo zimefadhili shughuli za Uchaguzi
3. Tunakwenda kuwaeleza wananchi kilichotokea kwa kuwaonyesha ushahidi kamili.
4. Dk. Slaa amepanga kuwakilisha ushahidi MZITO unaoonyesha uchakachuaji mkubwa wa kura za Urais ulivyofanyika. Ushahidi huo ni pamoja na matokeo halisi ya vituoni yenye saini za mawakala ambayo yanapishana na yale ya NEC.

Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%.

My take; Mahakamani je?
 
Duh hawa jamaa ni wanyama kweli,yaani ndio wametudhulumu kutoka wa kwanza eti hadi wa tatu
 
Na magazeti ya Vatican nayo yanasemaje kuhusu Mchungaji Slaa, kaonewa ??????
 
Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando amewasilisha rasmi NEC barua ya kupinga matokeo.

Hatua zilizochukuliwa/tutakazochukua ni:

1. Kwenda NEC - (barua imewasilishwa jana)
2. Tunakwenda kueleza Nchi wahisani ambazo zimefadhili shughuli za Uchaguzi
3. Tunakwenda kuwaeleza wananchi kilichotokea kwa kuwaonyesha ushahidi kamili.
4. Dk. Slaa amepanga kuwakilisha ushahidi MZITO unaoonyesha uchakachuaji mkubwa wa kura za Urais ulivyofanyika. Ushahidi huo ni pamoja na matokeo halisi ya vituoni yenye saini za mawakala ambayo yanapishana na yale ya NEC.

Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%.

My take; Mahakamani je?[/COLOR]

mahakama ndio CCM yenyewe hio bora hata tukashtaki ccm kuliko mahakamani!! kama noma naiwe noma na safari za mkullu zitaisha zakwenda kuangalia basketball.labda kama wamarekani wanataka kumtumia watamtetea
 
Lengo la kupinga si kwa uchaguzi huu tu bali mpango mzima wa chaguzi zijazo pia, bila kurekebishwa sasa mambo yatajirudia uchaguzi ujao.
 
Hakuna kulala mpaka............................................................!
 
huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!

mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!

mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!

slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!
 
Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando amewasilisha rasmi NEC barua ya kupinga matokeo.

Hatua zilizochukuliwa/tutakazochukua ni:

1. Kwenda NEC - (barua imewasilishwa jana)
2. Tunakwenda kueleza Nchi wahisani ambazo zimefadhili shughuli za Uchaguzi
3. Tunakwenda kuwaeleza wananchi kilichotokea kwa kuwaonyesha ushahidi kamili.
4. Dk. Slaa amepanga kuwakilisha ushahidi MZITO unaoonyesha uchakachuaji mkubwa wa kura za Urais ulivyofanyika. Ushahidi huo ni pamoja na matokeo halisi ya vituoni yenye saini za mawakala ambayo yanapishana na yale ya NEC.

Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%.

My take; Mahakamani je?

TUOMBE MUNGU MAPENZI YAKE YATIMIZWE.:A S cry:
 
Pointi hapa ni kuwa chadema inalalamika kuwa matokeo ambayo tume wanatangaza sio yale mawakala wao waliosaini na kwamba kura zao zimekuwa zikipunguzwa.Kwahiyo wanadai haki yao ya msingi kabisa sijui kwa nini unapotosha!Anayetaka kuhatarisha amani hapa ni nani kati ya chadema na NEC?Kwanini wasitangaze matokeo halisi ya uraisi kama wanatakia mema taifa hili?Kuhusu marando,acha afanye kazi yake ya kisheria,hiyo ndo kazi yake!Kama kuna evidence ya kuthibitisha madai yao ni haki yao kikatiba.Usilinganishe hii ishu nccr kwa kuwa wala havifanani.Nccr hawakuwahi kuwasilisha pingamizi la kupinga kutofanana kwa matokeo ya vituoni na yale yanayotoka kwenye vinywa vya watu wa nec!Hapa swala sio kukubali matokeo ili yaishe,labda kama unamaanisha kukubali kuonewa ili yaishe.Watangaze matokeo halisi,waache kudanganya jumuiya za kimataifa na watanzania kwamba watashinda kwa kishindo ili kuvunja nguvu upinzani wa nguvu ya uma!
 
Ndugu zange wakuu wanaJF Haki siyo lazima ipatikane kwa kumwaga damu na kama nchi hii ya kistaarabu inabidi itumike people's power kama Mandela,Gandhi.Khomeini,Nyerere nk.
Haki huchelewa kupatikana lakini hupatikana.
 
Hii sasa imetulia. Nafikiri safari hii ina matumaini makubwa. Tuweke mambo yote hadharani.
 
Inaelekea hata hujui unachoongea. Kama unaupendo wa kweli kwa nini usimshauri JK na team yake kuheshimu maamuzi ya wapiga kura? Kwa nini anataka kulazimisha kutawala wakati wananchi hawampendi?
 
huyu marandu sasa ndio anaimaliza chadema kwa kutengeneza ushahidi bandia ili MASHABIKI wao wakasirike na kuleta fujo, na hapo ndio mwisho wa chadema maana mashabiki wao masikini watapata mkongoto na huenda chadema kufutwa kabisa kwa kuchochea machafuko na kumwaga damu!!!!

mimi nawashauri viongozi wa chadema wakubali matokeo na wamepata wabunge wengi wakafanye kazi bungeni waache kukimbilia ikulu waache kumsikiza huyu marandu anataka kuua chama chenu kwani ameingia chadema kwa kazi maalumu ambayo aliisha ifanya kazi kama hiyo pale alipoua nccr-mageuzi miaka ya 90!!!

mbona cuf wamekubali matokeo ya zanzibar na kama ushindi hupatikana kwa wingi wa mahudhurio ya watu ktk mikutano ya kampeni, basi maalim sefu alikuwa anapata umati wa watu, lakini wananchi wameamua hivyo slaa huna budi kukubali maamuzi ya wananchi na hapo utaonesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa!!! Vinginevyo utajiabisha kwa kuchochea machafuko na kumwaga na damu za mashabiki wako!!!!

slaa wewe ni padri na unatakiwa kuonyesha upendo na huruma uliyofundishwa rome ili mashabiki wako wasipate misukosuko!!!

Wewe yaelekea hujui unachoongea kabisa. Kwa nini usimshauri JK na team yake kukubali maamuzi ya wapiga kura?
 
mahakama ndio CCM yenyewe hio bora hata tukashtaki ccm kuliko mahakamani!! kama noma naiwe noma na safari za mkullu zitaisha zakwenda kuangalia basketball.labda kama wamarekani wanataka kumtumia watamtetea
sometimes sheria inasaidia hata kama mahakama ni za CCM,uliona yaliyotokea kwa masha?Masha alijitafutia sababu zake na kweli wakazipata kama si kwende kuweka pingamizi na chadema kujitetea sidhani kama lili jimbo tungelipata!so acha wapinge kuliko kukubali!
 
Muhimu ni jamii ya kimataifa itambue kwamba ccm ni genge la wanyang'anyi. Bravo viongozi wa chadema, endeleeni na hatua mliyoanza kuchukua. Watanzania tupo nyuma yenu.
 
Naungana na CHADEMA hii dhuruma haiwezi kuvumiliwa ingawa naamini Kikwete angeweza kushinda kutokana na mtandao wa chama chake lakini si zaidi ya asilimia 51% na CHADEMA ingepata wabunge zaidi ya 100
 
Back
Top Bottom