Safari ndefu namna hii ni mateso, serikali ituletee ndege za bei nafuu

Mimi nilishawahi panda COST LINE Kasulu Arusha.

Tuiingia Arusha saa saba na madakika, nikaishia kulala stendi. Uzuri ilikuwa Fiesta so stand ilikuwa busy kwa vijana wanaopenda starehe kuingia na kutoka pale Sheikh Amri Abeid.

Kwakweli tunahitaji Ndege na Treni za Umeme, Masafa marefu yanachosha mno.
 
Mhhh kwa hiyo ukichaguliwa Jinsi ambayo siyo yako huoni kuwa utakuwa umekashfika? Kwa Mwanaume kupambana ni hali ya kawaida wakati unaiona safari ya kutoa Dar to Kigoma ni ya Mateso lakini kuna wanaochimba migodini mpaka vidole vinawaka moto lakini hawakati tamaa
Kila mtu na nature yake...kila ridhki anayopata mtu ndio inavyomjengea maziringa..inawezekana we ni mpika chips so usiweze pilika nnazofanya pia..then uanze ongelea wafanya migodini..
 
Mimi nilishawahi panda COST LINE Kasulu Arusha.

Tuiingia Arusha saa saba na madakika, nikaishia kulala stendi. Uzuri ilikuwa Fiesta so stand ilikuwa busy kwa vijana wanaopenda starehe kuingia na kutoka pale Sheikh Amri Abeid.

Kwakweli tunahitaji Ndege na Treni za Umeme, Masafa marefu yanachosha mno.
Kabisaa mkuu..hii ndio point kubwa muhimu niliyohitaji watu tuiongelee..
 
Kila mtu na nature yake...kila ridhki anayopata mtu ndio inavyomjengea maziringa..inawezekana we ni mpika chips so usiweze pilika nnazofanya pia..then uanze ongelea wafanya migodini..
kwa hiyo wewe ni ke au Me ili tuoanishe hiyo huruma na jinsi
 
Sasa mkuu si ndo yale yale tena ongezea uchovu wa kuendesha gari ndo utamuua bure
Na mara nyingi huwa natumia private tofauti na kuendesha mwenyewe tangu serikali iwe strict na mwendo kasi wa mabasi..leo ndio nimerealize uzito wa hizi restriction za mwendo zinavyochosha.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Na mara nyingi huwa natumia private tofauti na kuendesha mwenyewe tangu serikali iwe strict na mwendo kasi wa mabasi..leo ndio nimerealize uzito wa hizi restriction za mwendo zinavyochosha.
Zinachosha sana ...sasa mfano ungelikuwa unatokea Musoma ,kigoma au Bukoba hapa unakaa style zote make makalio yanawaka moto . .....
 
Zinachosha sana ...sasa mfano ungelikuwa unatokea Musoma ,kigoma au Bukoba hapa unakaa style zote make makalio yanawaka moto . .....
Hahaha sana yan..tena haswa..kipindi kile ilikua mwendo mwendo..umachoka lkn unawahi kufika..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
nafikiria tu to turn it in a positive way ni abiria wangapi wanasafiri toka dar kwenda mikoani kila siku, fastjet walliona fursa wakaja wakapiga hela sana ila sijui kilichowapata sasa hivi japo siyo mtaaalam katika uendeshaji wa biashara ya usafirishaji wa anga, siamini kama kusafiri na ndege ni luxury kwa maoni yangu mahitaji ya usafiri huo ni makubwa sana serikali ingewalegezea sekta binafsi kwenye hili kwa maendeleo ya taifa,
 
Wakuu..
Leo katika safari yangu ya kurudi Dodoma baada ya kumaliza mishe mishe zangu ili kuwahi kufika niendapo imenibidi nipate bas la Sara Dar -Kigoma..

Usafiri wa mbali namna hii kwa basi ni mateso bila chuki. Kiukweli basi ni zuri tu Zongton au sijui ndio mambo ya kukosa usingizi tangu jana ndio nimechoka mgongo namna hii na shoulders..Hivi hapo tu me nashukia Dodoma nawafikiria sana wanaoenda kilomiter 800 kms zaidi ya nishukapo..na nadhani hii hali sio yangu tu. Maana hata wenyeji wa hizi safari naona wengine wamekaa chini ya kwenye seat yamewashinda..

Hivi ni Tanzania ndio tuna vijisafari virefu hivi kwa basi au kuna miji mingine pia ni ivi hivi..abiria wanaumia aisee pamoja na mchina ashukuriwe kutupatia basi nzuri ambazo tunaenjoy na entertainments tofauti na seat adjustable lakini wapi..

Serikali ijipinde itatutaftie hata vijindege vya bei ndogo tusafiri navyo virahisishe mambo au hata washawishi wawekezaji wainvest katika usafiri wa anga kupunguza hizi hadha..kiuno na mgongo havifanyi kazi nilikua na mategemeo ya kunyoosha direct ofisini itabidi nikapumzike tu

Nawasilisha.

Huna hela ya kupanda ndege, wateja wa usafiri wa anga tunapanda ndege kama kawaida Dar to Dodoma.
 
Hahaha sana yan..tena haswa..kipindi kile ilikua mwendo mwendo..umachoka lkn unawahi kufika..
Nakumbuka kipindi kile mfano kutokea bukoba gari zinapita nairobi sijui madreva walikuwa wanategeshea gari kwenye accelerator??
 
napenda usafiri wa basi..inanoga zaidi ukiwa na abiria mchangamfu wa nanihhii tofauti
 
nafikiria tu to turn it in a positive way ni abiria wangapi wanasafiri toka dar kwenda mikoani kila siku, fastjet walliona fursa wakaja wakapiga hela sana ila sijui kilichowapata sasa hivi japo siyo mtaaalam katika uendeshaji wa biashara ya usafirishaji wa anga, siamini kama kusafiri na ndege ni luxury kwa maoni yangu mahitaji ya usafiri huo ni makubwa sana serikali ingewalegezea sekta binafsi kwenye hili kwa maendeleo ya taifa,
Yeah ii ni very true..tunahitaji ndege nafuu ambazo zitakua affordable na watanzania ata wa saiz ya kati tu na treni za umeme..itasaidia sana..
 
Fikra za kiafrika ni kazi sana kuzibadilisha,
Yeah ni kweli..hatuna long term vision na pia fikra zetu zimewekeza sana ktk biashara ndogo ndogo..investment pia ktk sayansi ni kitu cha muhimu sana..na ndio kitu ambacho serikali imejisahau
 
Back
Top Bottom