Safari katika Afrika

alfie1990

Member
Feb 15, 2010
7
0
Hello!
Nakusudia kusafiri katika Afrika mwaka ujao.
Ratiba ya safiri: Peru - Brazil - South Africa - Mozambique - TANZANIA - KENYA - Ethiopie - Sudan - Egypt.

Sasa, mna habari za kupata VISA ya Msafiri katika Tanzania na Kenya? Shaka ni kwamba hapa Peru hakuna embassy ya Kenya au Tanzania, na siwezi kupata VISA kabla ya kusafiri (lakini bado sina hakika about this).
Anyway, nilisoma kuwa inawezekana kupata Visa katika Tanzania na Kenya kulipa pesa kidogo. Lakini, naweza kupata Visa ingawa nakwenda kwa miguu? Kwa sababu mimi nitakwenda kwa miguu kutoka South Africa (na kwa gari kadhalika). Inayakini kuwa nitapatwa Visa..?
Sijui sana kuhusu huyo...

Mkinisaidia nitafurahi sana!!

Bye :)
 
Viza haina shaka,ukifika boarder tu dola 50 unapata viza yako ya miezi mitatu bila hongo wala fedha ya ziada na pindi ukiwa Tanzania unaweza ukachukua kabisa visa(Entry) ya Sudan kwakuwa nao wanavisheria vya kijinga kutokana na machafuko ya mara kwa mara..lakini kama una passport ya kikimbizi itakusumbua sana(usijaribu) otherwise i like the trip"Adventure"

All the best
 
Back
Top Bottom