Wengine hatumjui ni nani huyo?
Nadhani wengine wanamfahamu...
aka ka Brian Deacon mbona hakazeeki?yaani km huo ndo muonekano wake wa sasa,huyu jamaa atakuwa na dongo zuri sana aise, maana toka alipoigiza ile filamu ya yesu ni kitambo kidogo kiasi kwmb sasa awe na muonekano wa kibabu babu kidogo!
Nadhani wengine wanamfahamu...