Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Yule hepi nae vipi
Hepi kaufyata kakituliza.
Gambo mapema kuna wazee walimshika mkono wakamwambia dogo Dunia duara kanyaga taratibu ukivaa koti kuna siku utalivua akabadilika.
Hepi aliwaambia wazee wenye ccm yao wakaae kimya enzi zile za farao akiambiwa ukweli viliinuka vishetani vyake kumjibia mapigo.Zama zile za musiba majura anakata viuno kumsifia mungu wake.
 
Hatimaye kile kilichoitwa MAKONDA STYLE sasa kitajulikana ni kitu gani kupitia mashahidi wahanga
Ndizi ilishaiva kuanzia nchani inaelekea kwenye shina, albadili huwa aikosei, ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
DPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea
Damu zinaendana
 
Ngoja approach ya kukusudia kumshitaki ikubaliwe mahakamani mchakato uanze, tena kesi yake itakuwa na attention kubwa kuliko ya sabaya
 
DPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea

DPP ashapigwa mkwara, hii kesi 'wamepewa' ruksa watu binafsi kuiendesha na sio Jamhuri…. ila itaenda itaenda kisha itapuuzwa.
 
Mi hapo kwenye mawakili wa kujitegemea ndio sijaelewa wandugu

Ina maana sio serikali kupitia waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki bali ni mawakili tu binafsi?

Ukiachilia mbali labda utofauti wa aina ya mashtaka je kiuendeshaji wa kesi hii tofauti yake na kesi ya Sabaya ni upi?
 
Heloooo Bashiteeee

bashite.jpg
 
Clouds wamesema wenyewe hawausiki na hiyo kesi , sasa nani atakuwa mlalamikaji?
Kwani kuna sehemu hapo imeonyesha kuwa hayo matumizi mabaya ya ofisi ni yale yaliyofanyika clouds?kwenye criminal case siku zote mlalamikaji ni jamuhuri tu, hivyo clouds hawezi kuwa mlalamikaji bali shahidi wa jamhuri.
 
Na Kubenea yupo upande upi hapa au yeye ndo Jamhuri? Samahan kwa usumbufu mkuu maana mi sielewi.
 
Back
Top Bottom