Ukombozi Sasa
Member
- Nov 5, 2010
- 17
- 10
Today is Saddest Day of Democracy in Tanzania, Je inamaana gani nchi yetu kuendelea kupelekwa kibabe na watu wachache ambao hawaeshimu chaguo la wananchi? Kwa kutaka waendelee kubaki kwenye madaraka na kuchukua utajiri wa nchi kwa ajili ya familia zao, Kikwete yapi mema umewafanyia watanzania?, kwa kweli tunakuchukia ila hatuna la kufanya..Elewa ya kuwa haki ya watu haipotoi ila inachelewa..natumaini baada ya 2015 utakuwa rais wa kwanza wa Tanzania kufikishwa mahakamani na kufungwa wewe na familia yako, ambayo kwa sasa mtakuwa mstari wa mbele kupora utajiri wa watanzania wenzako. Wewe na marafiki zako mmefanya Tanzania kama mali yenu. Leo hiii unasimama ukifurahia ushindi wa uwizi, je hii haikumizi roho hata kidogo....You can fool some people sometimes but you cannot fool all the people all the time... Ipo siku tutapata kiongozi wa kweli ambaye atayakayejali maslahi ya wananchi...Kwa sasa watanzania hatuna kiongozi kwa miaka mitano inayokuja itakuwa migumu sana..Kikwete atahiharibu nchi kuliko hii mitano iliyopita.....MUNGU TUSAIDIE... kwa kinachokuja ni Udini, Ubabe, Unyanyasaji, Uwizi, Usalama Mdogo, Ufisadi wa Kutisha, Elimu Duni, Barabara Mbaya, Afya Mbovu, miji michafu, rushwa, ...Ni umaskini juu ya umaskini.....WATANZANIA TUMEKWISHA
Dr. Slaa tunakuombea kwa Mungu akupe afya njema ili uweze kutuongoza 2015, tupo nyuma yako ...It is just the matter of time
Inatuuma sana sisi wananchi kwa kunyimwa haki yetu, uwizi wa kura CCM iliyofanya kupitia NEC umevuka kiwango.....
TUMECHOKA KWA KWELI
Dr. Slaa tunakuombea kwa Mungu akupe afya njema ili uweze kutuongoza 2015, tupo nyuma yako ...It is just the matter of time
Inatuuma sana sisi wananchi kwa kunyimwa haki yetu, uwizi wa kura CCM iliyofanya kupitia NEC umevuka kiwango.....
TUMECHOKA KWA KWELI