SADC you have forgotten cooking gas sector in dealing with Climate Change and Deforestation

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
I don't know why SADC is not promoting aggressively cooking gas in their campaign against climate change and deforestation.

Concentration is on the Electricity while majority of people in SADC don't use electricity to cook.It appears the SADC concentrates on Macro levels, priority being to get electricty for industries, SGR trains etc and forget Micro levels where need to use cooking gas to curb deforestation and climate change is of a Paramount importance.

I appeal to SADC to come down to micro levels in the issue of power and energy by making cooking gas agenda a priority also SADC countries should remove taxes make subsidies etc to make cooking gas available to all especially in rural areas
 
Katika national level,sisi tumefanyaje?Tuna matrilion ya cubic meters ya gas,tumewezaje kupunguza matumizi ya mkaa?
 
Katika national level,sisi tumefanyaje?
Tuna tatizo Hilo Hilo na sisi ndio maana nataka nchi zote za SADC tufanye tusianze kuulizana. Tatizo Hilo tutafute solution.

Vikao vinatakiwa vya solution Sio vya kuulizana wewe umefanya Nini.
 
Tuna tatizo Hilo Hilo na sisi ndio maana nataka nchi zote za SADC tufanye tusianze kuulizana. Tatizo Hilo tutafute solution.

Vikao vinatakiwa vya solution Sio vya kuulizana wewe umefanya Nini.
Wa kuweka agenda hiyo mezani ilipaswa kuwa sisi Tanzania ukizingatia tuna utajiri mkubwa wa gas!
 
Bring your plan openly,will be accepted if postively
They know what I have written .They are experts I don't need to write long stories.Expert doesn't need that they know what should be done
 
Bring your plan openly,will be accepted if postively
Tulipaswa kupenyeza agenda ya matumizi ya gas kwenye mkutano huu!Yale matrilion ya cubic meter isiishie mdomoni badala yake tufanye biashara!
Ukizingatia umeme wa rufiji unakuja,hivyo badala ya kuchakata gas kuzalisha umeme basi tungeichakata na kuuza kwa matumizi ya nyumbani na viwandani,unless hatuna chetu kwenye gas ya mtwara!
 
I don't know why SADC is not promoting aggressively cooking gas in their campaign against climate change and deforestation.

Concentration is on the Electricity while majority of people in SADC don't use electricity to cook.It appears the SADC concentrates on Macro levels, priority being to get electricty for industries, SGR trains etc and forget Micro levels where need to use cooking gas to curb deforestation and climate change is of a Paramount importance.

I appeal to SADC to come down to micro levels in the issue power and energy by making cooking gas agenda a priority also SADC countries should remove taxes make subsidies etc to make cooking gas available to all especially in rural areas
Mwenyekiti nyumbani kwake ameukwepa huo mradi wa gas amerukia kwenye nishati ya maporomoko ya maji.

The charity begins at home.
 
Tulipaswa kupenyeza agenda ya matumizi ya gas kwenye mkutano huu!Yale matrilion ya cubic meter isiishie mdomoni badala yake tufanye biashara!
Ukizingatia umeme wa rufiji unakuja,hivyo badala ya kuchakata gas kuzalisha umeme basi tungeichakata na kuuza kwa matumizi ya nyumbani na viwandani,unless hatuna chetu kwenye gas ya mtwara!
Uko sahihi business council yetu na wizara ya nishati na madini ,TPDC,Private sector Foundation wangelipenyeza Hilo .
 
Wa kuweka agenda hiyo mezani ilipaswa kuwa sisi Tanzania ukizingatia tuna utajiri mkubwa wa gas!
Mikutano hii ya kimataifa wenzetu huwa aggressive Sana KU push agenda zao mfano unaangalia una Nini sisi gesi ya kupikia tunayo na kiwanda kimefunguliwa juzi tu hapa Cha gesi ya kupikia swala Hilo la gesi ya kupikia lilitakiwa kuwa agenda sielewi kwa Nini halijawekwa .This is unfair.
 
Back
Top Bottom