SADC Ruling on Zimbabwe Crisis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SADC Ruling on Zimbabwe Crisis

Discussion in 'International Forum' started by Kichuguu, Nov 30, 2008.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Nov 30, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kwa mara nyingine Afrika tumeonyesha uzembe wetu. SADC ilipewa jukumu la kutatua mgogoro wa Zimbabwe, lakini wao wakaogopa kumkasirisha Mugabe. Matokeo yake sasa inaelekea kuwa wanaweza kuwa wamesababisha matatizo makubwa zaidi nchini Zimbabwe kuliko mwanzo. Walichofanya ni kupulizia moto ili kuupunguzia makali yake lakini wameshindwa kuuzima. Utakapowaka tena huenda hawatweza kuupulizia tena.

  Kwa nini waliendelea kumwanini Mbeki ambaye alishindwa kutatua mgogoro ndani ya chama chake mwenyewe? Atatoa wapi uwezo wa kutatua migogoro ya nchi nyingine?
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  I support young President Mr. Khama, he is the only man we can hope for SADC development. Ndiye pekee aliyebaki baada ya Marehemu Mwanawasa anayeweza kumwambia ukweli dictator Mugabe.
   
Loading...