SADC Meeting 2019 in Tanzania: How many Heads of State attended?

Huyu jamaa yangu nimeshamuuliza mara kadha wa kadhaa kuhusu hayo uliyoyaandika,lakini hana jibubla uhakika. Kwa kweli hatendei haki karama alizopewa na Bwana Mungu.
Ndugu yangu Paskali, una uelewa mkubwa na mwingi mno kiasi kwamba kutokuwa na wavuti yako au chaneli ya YouTube ni kutotutendea haki watu wengi tunaokuamini kama mmoja ya wanahabari bora kabisa katika Tanzania yetu.

JF wouldn't have been the same without exceedingly knowledgeable figures like you.

And yes, a book from you is long overdue.
 
Back
Top Bottom