SADC And AU Must Intervene To Bring About Democracy In Swaziland | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SADC And AU Must Intervene To Bring About Democracy In Swaziland

Discussion in 'International Forum' started by WembeMkali, Sep 23, 2008.

 1. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  18 September 2008

  The news of the arrest of various protestors including the PUDEMO President Mario Masuku, SNAT leadership, SFTU General Secretary Jan Sithole, and trade union leader Vincent Dlamini has demonstrated the willingness of the Tinkudla regime to subvert democracy in Swaziland.

  It is a shame that this happens whilst King Mswati III is the head of the SADC Organ on Politics, Safety and Defense. How opportunistic that the rest of the region and the continent has chosen to keep quite whilst thousands of people in Swaziland are subjected to extreme poverty and the brutal dictatorship of the King.

  We call on SADC and the AU to stand up and take a stand to defend democratic principles. South African governments deafening silence speaks volumes about the cornerstone of our foreign policy, more so because many Swazis died in the struggle against apartheid on the side of democratic forces together with their South African counterparts. We owe it to our own revolutionary martyrs who fell on the Swazi soil fighting for the freedom we enjoy today and to liberate Swaziland from this draconian rule. The forthcoming elections are nothing but a sham and a cheap attempt to fool the world about democracy in Swaziland.

  Furthermore the stance taken by other international institutions including the EU and Britain in refusing to send observes to the elections must be applauded. This is mainly informed by Swaziland's flagrant attack on the SADC Protocol on Elections.

  Issued by the SACP

  My take:

  Kama kawaida ya EU na Marekani, pasipokuwa na wazungu au hakuna interests zao hutasikia chembe ya malalamiko juu ya democracy au violations of human rights!! au hata regime change!! Hii ndiyo inanifanya kila siku kusema kuwa waafrika tunapaswa kuwa waangalifu sana na uhusiano wetu na mataifa haya makubwa na siyo kuburuzwaburuzwa tu.
  Wote tuliona jinsi walivyoshikilia bango juu ya mambo yalioyotokea Zimbabwe lakini eti hawaoni yanayotokea Swaziland na wala hawako "interested" in listening of what is happening in Swaziland.Wapinzani wananyanyaswa na kudhulumiwa haki zao za msingi lakini hata neno moja la kumlaani Mfalme yule hakuna.Yaani wako kimya kabisa kana kwamba mambo wanayofanyiwa watu wa Swaziland hasa wanawake na vibinti vidogo ni sawa na hiyo ni African culture!!! This is double standard.
  Wapigania haki huwa hawachagui sehemu au mahala au nchi au rangi ya watu wakati wanapopigania haki.

  Wembe.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wembe,
  I thought Swaziland was a Kingdom, no? Since when Kingdoms have democracy? The King rules supreme. Sasa AU ikiingia kule kuleta demokrasia, tutamwita nani atusaidie kuileta kule Saudi Arabia?
   
 3. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu Jasus umesema kweli, hata ukiangalia historia inaonyesha kuwa watu wote walioko kwenye falme fulani ni mali ya Mfalme. Mfalme anaweza kuua wale ambao anaona wanampinga, wakati mwingine ukoo uliokuwa unampinga mfalme ulikuwa unafwekwa wote.
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Wembemkali,

  Hujiulizi kwanini wazungu hawakuchuku Swaziland na Lesotho enzi za ukoloni? Unataka tuamini ni kweli kwamba Swaziland na Lesotho walikuwa na majeshi makali zaidi ya kupambana na wazungu kiasi kwamba wakashindwa kuingia huko? Sio kweli. Ukweli ni kwamba kule hakuna rasimali yoyote ya maana ambayo mzungu angepoteza muda muda wake kugombea.

  My take:

  Mkoloni hakuondoka Africa kijinga. Aliondoka kwa malengo. Ukiangalia historia ya Mwafrika imevurugwa sana na wazungu. Hii ni kutufanya Waafrika tuwe "reserve" ya wazungu for future use!!

  Angalia nchi zote zenye rasimali nyingi zaidi katika Afica, wazungu mpaka leo bado wapo, hata kama wameachia madaraka ya kiserikali lakini wameendelea kushika nyanja kuu za kiuchumi. Angalia, Zimbabwe, Namibia, South Africa na Angola.

  Kwa nchi ambazo waliondoka kwa danganya toto kama Congo Kinshasa, walirudi baada ya kuona Patice Lumumba anataka kutumia rasimali zilizopo kuendeleza Congo. CIA wakammua na kuweka kibaraka wao Mobutu.

  Leo hii Congo ndiyo nchi tajiri zaidi kwa rasimali katika Africa ikifuatiwa na Southern Sudan. Huko kote hakuna Millenium Challenge Goals wala International Financial Reporting Standards, wala Health and Safety Standards, wala ISO.....!!! You name it. Ila wamejaa Wachina na Wa America wakifanya exploration ya madini kwa gharama kubwa sana! Congo hakuna infrastructure kabisa. Mashine za kuchorongoea miamba katika utafiti wa madini zinabebwa kwa helcopter toka point moja hadi nyingine..say 100 metres between the two poits!

  Halafu Tanzania tunajaza wawekezaji wakiwa na tax exemptions kibao, eti kisa tusipowapa hizo exemptions watakimbia. Think about it!

  Excuse me guys, I might be talking too much! Ngoja niishie hapa!!!!
   
 5. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2008
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vizuri tungewasaidia watu wa swaziland kwa kumpressure king na kingdom yake kuruhusu democrasia kuchukua mkondo wake badala ya kukaa kimya au kutizama tu na kushabikia udhalimu na uonevu.

  Wembe.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wembe,
  Ukifuatilia historia ya utawala wa kifalme utaona kwamba ni pressure ya ndani peke yake ndiyo inayowezesha kuondolewa kwa utawala huo na kujenga utawala wa kidemocrasia. Ni wao ndio wana jukumu la kuunda pressure groups kuwa sasa tumechoka na ufalme na hautufai. Mfalme abaki tu kuwa titular head of state kama alivyo malkia wa Uingereza ili kudumisha mila za Kiswazi.
   
Loading...