Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

The higher the illiterate rate is the higher the money collected by the pastor...........watu wana kusanya pesa katika hao watu masikini. Imagine hicho ni kiasi ganiView attachment 1919016
Tofautisha 'illiteracy' na umasikini, 'poverty'. Panapopatikana sadaka kwa wingi umasikini huwa haupo, pana ujinga. Waumini huhamishwa bongo zao na remote zote kushikiriwa na mchungaji au askofu. Na wahanga wakuu wa utekwaji huu wa akili ni akina mama au wanaume wenye akili zinazoelekeana na hizo. Wapo tayari kupeleka ada ya shule ya mtoto ya millions kwa kuaminishwa watabarikiwa na mtoto.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Milion 40 kwa waumini 10000 it means kila muumini anatoa 5000

Je Gwajima anafikishaga waumini 10000 kwa Jpili moja?
Wakati mwingine muwe mnajaribu kuelewa mambo kulingana na elimu ya fasihi mliyosoma huko masekondarini ambapo moja ya faida yake ni kuweza kung'amua mambo kwa urahisi. Nafikiri mtoa mada amemaanisha uwingi wa fedha anazokusanya......hata km itakuwa m5,6,10 au hata 500k bado ni nyingi sana ameielezea hiyo kifasihi safi kabisa.
Hivi alivyosema Masaburi (r.i.p) kuwa kuna watu wanafikiri kwa kutumia 'makalio' ingekuwa akili kweli kuanza kujadili km makarios yanafikiri au la?
 
Kutoa specific figure means ni true
 
Back
Top Bottom