sasa hao waliokimbilia kupiga picha badala ya kumuokoa ni mahayawani au bangi?
huyo msichana mjinga sana pambavu sanaUtakuwa umemuona yule gelofrend wa the deceased kule marekani aliyeamua kurekodi video ya my boyfrendi wake akikata roho
Afadhali huyo alifikili watamhurumia hao maana ni 'watu' kumbe ni 'viatu', lakini huyu wa kufunikwa na lori mpiga picha ameungana na uviatu kabisa.Utakuwa umemuona yule gelofrend wa the deceased kule marekani aliyeamua kurekodi video ya my boyfrendi wake akikata roho
huyo msichana mjinga sana pambavu sana
Afadhali huyo alifikili watamhurumia hao maana ni 'watu' kumbe ni 'viatu', lakini huyu wa kufunikwa na lori mpiga picha ameungana na uviatu kabisa.
Unadhani angefanya nini? Video yake ndo imeanika ukweli, Police walijitetea alikua anataka kutoa Bunduki!huyo msichana mjinga sana pambavu sana
my boyfriend wake???Utakuwa umemuona yule gelofrend wa the deceased kule marekani aliyeamua kurekodi video ya my boyfrendi wake akikata roho
Msichana nimempenda sana na ni kichwa sana.... Asingerekodi kusingekuwa na justice.. Na ukweli usingejulikana... Sasa bora msichana .. Katoto kao ka miaka minne kalimwambia mama yake .. Nipo hapa mama stay strong... Naisifa sana ile familia.. Kuliko angalia lia kama mwanamke wa kisukuma mwishowe haki ya mumewe ingepoteahuyo msichana mjinga sana pambavu sana