Sad: 6000 FARDC killed 120 captured by M23 including Captain Patrick Nyembo

CONGODRC NEWS



Reliable sources from MONUSCO.

A confidential report sent today to the headquarters of the United Nations says that 6,000 FARDC were killed by M23 on the Battlefield at Kanyarucinya during the last 10 days of fighting. Verified source from Goma: 720 FARDC wounded are at the Military Hospital in Katindo abandoned by the government only getting help from NGOs, hundreds become mad and some are at Sante Mental in Ndosho, a hospital treating mad people. And others has been captured by M23 and being treated at Rumangabo M23 sickbay.

INTERVIEW OF PATRICK NYEMBO AN FARDC CAPTAIN OF THE COMMANDOS BATTALION TRAINED BY AMERICANS CAPTURED AT THE FRONTLINE


[video=youtube_share;ZAdbuA9HjGw]http://youtu.be/ZAdbuA9HjGw[/video]



1 Good Morning? What is your name
R/ My Name is Captain Nyembo Patrick.
2 How Did you reach Hear
R/ It’s By circumstance, i passed on the village near our neighbor then i was shot.
3 You worked in Which Units of FARDC?
R/ I was working In comandos unit
4 Which fuction did you have in
R/ I was the S2 of the Operations commandant
5 Were you on the front line?
R/ No, I was based in Goma town looking for suspects in town but later, I come to see what was going on on the battlefield, I went with 2 Lieutenant on a Moto bike, when we advanced some meters we failed in the Ambush and we were shot.
6. Did u not realize that M23 was there?
R/ for sure I couldn’t believe that M23 soldiers were there. it was near our positions, they just come out of the bush
7. Which place is that?
R/ Some meters of kanyarucinya
8.now you are in M23 hands, how are they treating you?
R/ first of all i say many thanks the Unit i found here, they are treating me very well, they are giving me medics , food everything is OK. KITOKO.And the way they are treating us in this M23 sickbay, there is no discrimination, they don’t matter that you are from M23 or FARDC, the treatment is equal.
7. What can you tell other Fardc about this war?
R/The only thing i can tell Them is to stop fighting, war is not good, we are all Africans we share the same ancestral its not good to continue killing each other.
8. And what do you ask M23 Leader?
R/ Only love, love Each other, even Joseph kabila, Genral Makenga and all of us its time to Unit, love each other and stop calling some Rwandans, because since i reached here I have never seen any Rwandans only Congolese. I realize that its only propagandes.

The last one Says.
They lied Mamandou, they told us that M23 Withdrew from Kanyarucinya, then we advanced. Reaching Kibati, M23 attacked us from behind we couldn’t go back, it was horrible.
Mutware M

Vipi Mkuu nngu007, naona unajitahidi sana kutangaza propaganda za M23, hiyo source yako DRC News ni mouth piece ya hao jamaa na haiwezi kuwa credible hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni hadithi za abunuwas haahaaha 6000?? Hao ni watt wa chekechekea au?
 
William umeona jinsi wanyarwanda wanavyohangaika kueneza propaganda za mfa maji?
jamaa ana-post akidhani wanaopitia humu hawana vichwa lol!!
Hivi kweli waasi waue askari 6000 kutoka majeshi ya kiserikali ndani ya siku 10 yaani kila siku askari mia 600. kwa lugha nyingine kila siku waue platuni 56!!!! hata kama walinda amani wangekuwa mgambo bado hiyo idadi haiwezekani!!!

Kuuwa watu 6000 siyo shida kwa sababu hata Israel iliwahi kuuwa wanajeshi wa Misri zaidi ya 15,000 katika siku 6. Tatizo hapa ni jinsi gani propaganda zinafanywa na watu kwa kudhani kwamba kila anayeingia humu jamii forums wnapenda kushabikia mambo ya kufikirika yasiyokuwa na independent source kama kweli zipo. maana kila upande unatufanya kuwa walaji wa propaganda zilizo mbali na ukweli.
 
Kuuwa watu 6000 siyo shida kwa sababu hata Israel iliwahi kuuwa wanajeshi wa Misri zaidi ya 15,000 katika siku 6. Tatizo hapa ni jinsi gani propaganda zinafanywa na watu kwa kudhani kwamba kila anayeingia humu jamii forums wnapenda kushabikia mambo ya kufikirika yasiyokuwa na independent source kama kweli zipo. maana kila upande unatufanya kuwa walaji wa propaganda zilizo mbali na ukweli.

..ktk hizi zama tunazoishi sasa hivi haiwezekani askari 6000 wauwawe halafu vyombo vya habari visiwe na taarifa.

..BBC, Al-Jazeera, etc etc wote hawana habari na vifo hivyo isipokuwa wao M23??

..this might be good propaganda, lakini siyo kwa watu waelewa kama members wa Jamii Forums.
 
Hivi kwanini Congolese wanapigana,ni mali tuu au ni chuki tuu kwa banyamulenge
 
umenishangaza kidogo!
Yaani genge la majambazi (M23) unalilinganisha na Serikali Kamili(Israel).
kuna mambo ya kuomba ushahidi lakini siyo hili!! kwa hili ni sawa na mtu aletuma maombi ya kazi lakini ndani ya bahasha kaweka karatisi zisizo na andishi lolote!! hivi kama wewe ni msaili utaanzia wapi kuthamni maombi ya aina hiyo zaidi ya kutupia kwenye kundi la taka?

Kuuwa watu 6000 siyo shida kwa sababu hata Israel iliwahi kuuwa wanajeshi wa Misri zaidi ya 15,000 katika siku 6. Tatizo hapa ni jinsi gani propaganda zinafanywa na watu kwa kudhani kwamba kila anayeingia humu jamii forums wnapenda kushabikia mambo ya kufikirika yasiyokuwa na independent source kama kweli zipo. maana kila upande unatufanya kuwa walaji wa propaganda zilizo mbali na ukweli.
 
Huo ndio ushauri aliopewa Kagame....cha ajabu na wewe leo unatumia lugha ile ile aliyoitumia Kikwete......kwa maneno yako hayo hapo juu wewe unaitwa MUUAJI mbele ya ndugu zako Rwandese......

...Wanajeshi wetu waliopo DRC.......wana mamlaka ya UN kwa makakati maalum.....hatukujipeleka kiujanja ujanja kama alivyofanya Kagame.......Hayo uliyo andika....Watanzania tulio wengi tunayatambua kwa vizuri sana.....kupigana hatukuanza juzi na madhara yake tunayajua sana......msitegemee kwenye operations kama hizi hakutakuwa na maafa....

.....tumepigana ndani ya Angola, Seychelles, Uganda, Namibia, Msumbiji, Comoros, Zimbabwe....na hata hivi sasa baadhi ya wanajeshi wetu wako nchi mbali mbali.....either wakitoa mafunzo au wakitekeleza majukumu waliyopewa na UN.....

....nilipoteza ndugu na marafiki wa karibu wakati ule wa Vita ya kumng'oa Nduli Iddi Amin......inaelekea kuna VITOTO VINGI sana siku hizi hapa JF......halafu ni vioga kweli kweli.......Kuwa Mwanajeshi sio show za Dar Live Mbagala!!

Halafu si jambo la ajabu endapo kuna taarifa nzito kutoka jirani...wanajeshi wetu huwekwa standby kwa minajili ya kuilinda nchi yetu na mipaka yetu......tumefanya hivyo mara kadhaa ili kujilinda na possible attack from neighbouring countries......ndio maana ya kuwa na Jeshi.......to ready ready for any eventuality......

ASANTE SANA ENDELEA KUWAELIMISHA!

Lazima watu wajue kuwa "KUOGOPA VITA, SIO DAWA YA KUTUSAIDIA KUKAA KWA AMANI"

Ninao mfano hai, Wacongo waliendekeza sana starehe, 'wanapenda GITAA kuliko BUNDUKI', hata hapa kwetu tunawaona wanapendelea zaidi kusuka nywele za wanawake, kukata viuno na shughuli zingine za burudani badala kugangamala kwa kazi za kiume na kukaza buti.

Matokeo yake akina Kagame waliitamani Congo, wakaamua kwenda kujichukulia wanachotaka, na wakafanikiwa kwa sababu GITAA haliwezi kuunguruma mbele ya MTUTU.

Watoto wadogo wajuzi wajue kuwa MAFISI (MANYANG'AU) hao wanaimezea mate pia Tanzania, Wanatamani Ardhi, Bandari, Raslimali n.k. na wangependa kuifanyia kama wanavyoifanya Congo.
Kama hawajafanya hivyo kijeshi mpaka sasa, ni kwa sababu wanajua jeshi letu bado liko imara kulinda mipaka yetu, lakini hii haina maana kwamba wamekata tamaa. Hivyo watoto na watoto wa kufikiri wajue kuwa amani wanayofurahia sasa si lolote si chochote, siku yoyote ikitokea jeshi letu likalegea na wao wakabaini, ujue watatuvamia hawa, tena na Idd Amin aliwahi kujaribu. 'AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA'

Kwa hiyo wenye akili wajue kuwa Tanzania kutoa askari wetu washiriki UN Missions huko Congo, Darfur, Lebanon na kwingineko ni kwa faida yetu wenyewe. Hii inalijengea jeshi letu uzoefu wa KIVITA muda wote na ni salamu nzuri kwa MAFISI na MANYANG'AU wote kote waliko.

Zaidi ya hapo, askari kupoteza maisha akiwa CONGO au TABORA ni sehemu ya matokeo ya kutimiza majukumu yao kijeshi na wanaojiunga wanajua hilo. Ila tofauti iliyopo ni kuwa akifia Congo, Watanzania hawatayakimbia makazi yao na akifia Tanzania tutapoteza askari na wewe utakuwa mkimbizi kama ilivyotokea Kagera 1978. Jipange kiakili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom