Sackur: Good to see my interview with Tundu Lissu has stirred passionate debate!

Wenye akili zao wameelewa kuwa Tundu lissu kamwaga Radhi vilivyo itawagharimu wasio julikana Sana Sana kwenye operation zao!!
 
Lissu hamna alichojibu zaidi ya uongo tu. Sidhani kama akiambiwa arudi tena huko atarudi. Mfano swala la takimu anasema eti bila ya kuisifia serikali hutakiwi kutoa takwimu. Sasa huu si uongo wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwa kipofu,takwimu za TWAWEZA ni mfano tu,najua unajuwa kilichotokea na kilichomsibu mkurugenzi wa twaweza baada ya kutoa takwimu kuhusu Rais wetu mpendwa kuporomoka umaarufu na mengineyo....
 
Tunaweza kuwa tofauti lakini tuko sawa. Mimi nimeanzia TYL 1975 kabla ya CCM 1977. Najuwa sifa za mwana Tanu na ahadi za mwana Tanu. Na nilisomea uanachama. Hatukuwahi kuwa na moyo huu wa sasa wa kishabikia mTz mwenzetu kumiminiwa risasi kama chatu au tembo !!!!. Lakini vijana wa sasa wamefanya ushabiki wa uadui.

Simtetei Lissu lakini alifanyiwa unyama usiofaa kwa mwanaadamu kisa tu kutofautiana mawazo/itikadi. Haya mambo yakiachwa bila kupigwa kelele hatutakuwa na Tz tunayoikusudia kwa vilembwe vyetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa naamini kilichompata Lissu ni kitendo cha kufanyiwa unyama wa hali ya juu. Kinanikumbusha mazungumzo baada ya habari ya Paul Sozigwa enzi hizo za TANU...

"Binaadam wazima na fahamu zao huishi kama wanyama mwituni ambao uhai wa kila mmoja wao hutegemea urefu wa makucha yake na ukali wa meno yake, ubepari ni uhasama".
 
Dikteta anahaha kafanya mjadala FAKE eti na viongozi wa dini ambao ni WANAFIKI.

Hicho kipindi cha Hardtalk kimesababisha vitanda visilalike huko Magogoni.......

Jiwe alivyofura kwa hasira nadhani hivi sasa anajisemea kimoyomoyo kuwa kama BBC ingelikuwa media ya hapa nyumbani angeipiga BAN ya maisha!

Lakini anachosahau yeye ni kuwa nchi za wenzetu zinaruhusu freedom of expression
 
Yaani leo unapanick kumtetea Lissu??

mimi sijawahi kuwa CCM

nashangaa mjadala umegeuza matusi, ili chadema wakupende? aua wanaokuita ajuza, gagula , kikongwe

umehamisha magoli kwa interest zako na unajua kwa nini

nani kasema ana support alichifanyiwa lissu? ebu ona aibu..umeandika general statement haujajadili nilichosema

naona umeona hapa ndo pa kutokea


kwani wewe ni CCM?'ipi ya JPM kikwete?

nani asiyejua ulivyo mdini? na haumpendi Lissu!!.ila unafurahia Lissu kumchukia JPM

ha ha

ukimjua mtu wala hausumbuki

haya toa tena another general statement
Lisu "anamchukia JPM!!!?" Tangu Lini? Hivi kuwa 'critic'wa mtu ni sawa na 'kumchukia' mtu huyo!!!?
Hivi hoja za aina hii mngekuwa mnazisemea msalani na wala si hadharani. Ni taahira tu anayeweza 'masterbate' hadharani!!!
 
Back
Top Bottom