Sacked Ugandan Police Chief Now Being Taken to ICC

Sasa mbona huyu wa kwetu yupo hatarini zaidi kulinganisha na huyo wa Uganda? Duh hatimaye Mwigulu na Sirro watapanda rasmi pale juu! Siyo kwa kupotea huko watu, kuuawa, kupigwa risasi na miili kuokotwa!
Umelewa gongo wewe hadi harufu inasikika humu JF
 
ICC kwa mtindo huu wa kuchomoa mmoja mmoja ndio tutaona wanafanya kazi. Kuna ya kule Zenji na hapa kwetu pia imeanza kuwa mazoea. Hivi hakuna namna ya kupeleka maombi maalum watushughulikie?
Utasubiri sana unafikiri kwenda ICC ni sawa na kwenda uwani kwako?
 
Kuna cha kujifunza hapa. Alikuwa anakandamiza haki za raia ili kumfurahisha Mkubwa na wakati mwingine inawezekana alikuwa akifanya hayo kwa maelekezo ya Mkubwa wake. Imefika muda anabeba mzigo wa upumbavu wake.
 
Lakini Samweli akamjibu, Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, vivyo hivyo mama yako atafiwa miongoni mwa wanawake.
 
download-1.jpg

Kale-Kayihura-2.jpg

Gen-Kale-Kayihura-Fired-600x381.jpg

images
 
"This petition is brought to the ICC on its merits being that crimes like murder, deportation or forceful transfer of population. Torture and enforced disappearance of persons are within the definition of crimes against humanity which are triable by the ICC," the petitioners state in the criminal complaint before the ICC.

Nimesoma hichi nikaona kila dalili kwa Tz yanatokea sana sasa.
 
Back
Top Bottom