Sacked Ugandan Police Chief Now Being Taken to ICC

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,953
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Uganda, Jenerali, Kale Kayihura amefikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita(ICC) kwa tuhuma za kuhusika na jinai dhidi ya binadamu

Anadaiwa kutenda makosa hayo akiwa na maafisa wenzake wakati wa kuwarejesha raia wa Rwanda nchini kwao kutokea Uganda.

Kayihura ambaye amehudumu katika Ofisi kama Mkuu wa Jeshi la Polisi kwa takribani miaka 12 alihusika katika oparesheni(2010-2017) ya kuwarejesha Rwanda wakimbizi wenye asili ya nchi hiyo waliokuwepo Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

======
Kampala — Sacked Inspector General of Police, Gen. Kale Kayihura, has been taken to the International Criminal Court (ICC) over crimes against humanity that he allegedly committed along with his men when they forcefully deported a group of Rwandan nationals back to Rwanda.

Led by Mr Rugema Kayumba, the group states that they decided to file a criminal complaint before The Hague-based ICC court on grounds that they had failed to get justice in Uganda for a long time.

They further state the crimes allegedly committed by Kayihura and his accomplices, fall under the jurisdiction of the ICC that tries four major categories of crime that include; crimes of aggression, war crimes, crimes against humanity and genocide.

Gen Kayihura who had been at the helm of the Police Force for over the last 12 years before he was shown exit last Sunday by President Museveni and replaced by Okoth Ochola, is jointly taken to ICC along with 16 other senior police officers including the already indicted SSP Nixon Agasiirwe, SCP Aguma Joel.

The criminal complaint has since been filed in the office of the ICC chief prosecutor, Ms Fatou Bensouda in the Information and Evidence Unit at The Hague court in Netherlands.

"This petition is brought to the ICC on its merits being that crimes like murder, deportation or forceful transfer of population. Torture and enforced disappearance of persons are within the definition of crimes against humanity which are triable by the ICC," the petitioners state in the criminal complaint before the ICC.

"Selected Uganda Police Officers were offered 5000 USD for each individual repatriated, a witness testified to us that some of these victims who resisted where executed within Uganda," the complaint states further.

The group claims that between 2010 and 2017, Rwandan authorities procured services of members of the Uganda Police Force to forcefully repatriate Rwandan refugees, Ugandans of Rwandan origin and Congolese of Rwandan origin.

Sacked Ugandan Police Chief Now Being Taken to ICC
 
Huyu wa kwetu naye akaye mguu sawa....

Siku ikifika tu akapoteza hiyo kazi, basi ajue na yeye atapandishwa kwa mama Bensouda ili akatujulishe watu "wasiojulikana" wanapatikana mtaa gani.....
 
Sasa mbona huyu wa kwetu yupo hatarini zaidi kulinganisha na huyo wa Uganda? Duh hatimaye Mwigulu na Sirro watapanda rasmi pale juu! Siyo kwa kupotea huko watu, kuuawa, kupigwa risasi na miili kuokotwa!
 
Sasa ukiwemo na wewemnaotaka kumfurahisha "Mungu", jifunze! Operation Kibiti itakuja lipuka , it is a matter of time!
ICC kwa mtindo huu wa kuchomoa mmoja mmoja ndio tutaona wanafanya kazi. Kuna ya kule Zenji na hapa kwetu pia imeanza kuwa mazoea. Hivi hakuna namna ya kupeleka maombi maalum watushughulikie?
 
Huyu jamaa si ndio yule alikuwa jeuri sana, nakumbuka alikuwa anamkosoa waziri wake wazi wazi na kupinga mambo yake hadharani.

Waziri akisema polisi wafanye hivi, yeye anakuja kuwaambia msimsikilize huyo, nisikilizeni mimi.
 
Yaani Chadema nzima mnamuogopa aka Bashite........hiyo kurunzi inammulika na Mugabe wa Ufipa kumbuka hilo!
Bashite is second to JPM, the fact that you know! Bashite anaogopwa kuliko JPM. Hilo unalijua fika. We jipe matumaini. Ufipa have nothing to worry, wanaopotea wote wanaipinga serikali.....
 
ICC kwa mtindo huu wa kuchomoa mmoja mmoja ndio tutaona wanafanya kazi. Kuna ya kule Zenji na hapa kwetu pia imeanza kuwa mazoea. Hivi hakuna namna ya kupeleka maombi maalum watushughulikie?
Chakaza, angalia hii unaweza pia ukaraise alarm to ICC,... A Philippine lawyer.. soma chini

Rodrigo Duterte to be investigated by International Criminal Court over Philippines' ‘war on drugs’


The International Criminal Court (ICC) has opened a preliminary investigation into Philippines President Rodrigo Duterte’s “war on drugs.”

The campaign has led to nearly 4,000 deaths since its beginning in July 2016.

The ICC will look into whether crimes against humanity have been committed and whether the Hague-based court has the authority to eventually bring suspects to trial.
·
Duterte tells Suu Kyi to ignore 'noisy' human rights activists

A Philippine lawyer sent the ICC a complaint against Duterte and at least 11 senior officials in April 2017, saying crimes against humanity were committed "repeatedly, unchangingly and continuously" and killing drug suspects and other criminals had become "best practice".

The investigation is just the first step in a process that could lead to charges and a trial, though since its inception in 2002 only nine other cases out of 12,000 complaints have gone to trial at the ICC.


Most of the dead were poor Filipinos living in urban areas and human rights group fear the actual number of dead could be far higher than reported.

"While some of such killings have reportedly occurred in the context of clashes between or within gangs, it is alleged that many of the reported incidents involved extra-judicial killings in the course of police anti-drug operations,” said ICC prosecutor Fatou Bensou
 
Huyu wa kwetu naye akaye mguu sawa....

Siku ikifika tu akapoteza hiyo kazi, basi ajue na yeye atapandishwa kwa mama Bensouda ili akatujulishe watu "wasiojulikana" wanapatikana mtaa gani.....
Unajitekenya kisha unacheka mwenyewe.
 
Sasa ukiwemo na wewemnaotaka kumfurahisha "Mungu", jifunze! Operation Kibiti itakuja lipuka , it is a matter of time!
Acha uongo uongo na kulinganisha mambo yasiyolinganishika bila shaka wewe ni muathirika wa vyeti fake ndiyo maana una machungu yasiyonyuma wala mbele.
 
Back
Top Bottom