Sabuni zenye harufu nzuri na kwa ajili ya ngozi

Petabyte186

Member
Jul 10, 2017
91
37
a375fed892a62b85c6b5f69e12276d99.jpg

Hii ni sabuni iliyotengezwa kwa maziwa na asali. Kazi yake ni kuweka ngozi kuwa nyororo na inatakatisha ngozi kwa haraka. Inauzwa elf 8 t.
4f83283e53bfa4f8098e376a52588585.jpg

Na hii ni sabuni ya aina yake yenye harufu nzury na ya kuvutia. Inasaidia kutakatisha ngozi na kukurudisha na uhalisia wako. Hii inapatikana kwa elf 6 t.

Pig simu 0787327501 Zanzibar kujipatia product zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom