KEDIAY-MANGUSHA
Member
- Jun 26, 2011
- 13
- 2
Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye choo cha shimo. Huku akioga akawa anaimba 'ogesha, ogeshaaaaaaaa, ogeshaaaa' mpaka mwili mzima ukawa na mapovu. Ghafla sabuni ikadondoka akaiokota akaendelea kujipaka sabuni na kuendelea kuimba ogeshaaa kwa sauti ya juu ili majirani wamsikie anatumia sabuni ya matawi ya juu. Ghafla jamaa akaanza kutukana, kumbe sabuni ilipodondoka aliokota kimba(mavi) akaendelea kujipaka. Akaanza kusema sabuni ya ogesha kwa juu tu ndo sabuni ndani ni ushuzi tuuuu! Aha TANESCO HAOOOOO