Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

Nasikia CCM wanampango wa kumpokonya kadi ya uanachama kwa style ya kumdhalilisha ili kama kuna mwana CCM mwingine ajifunze asifanye kama sabodo

Hawawezi kumnyanganya kadi, Kadi ni mali yake aliinunua. Hata DR SLAA aliwahi kusema yeye binafsi hajarudisha kadi ya CCM na hana mpango wa kuirudisha sababu aliinunua kwa pesa yake mwenyewe.
 
Pendekeza huo utaratibu wa kuwatambua wachangiaji usisubiri kukosoa.

For good order's sake; thread hii haijaletwa na Chadema

If asked and needed by the appropriate authority, I'll advise the best way to do this. Thanks 4 your observation, anyway.
 
Mfanya biashara maarufu nchini Mustafa Sabodo leo hii ametoa Sh 100 milioni kwa Chadema kukipongeza chama hicho kwa ushindi wa Nassari huko Arumeru. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Sabodo na kumkabidhi katibu Mkuu wa CDM, Dr W. Slaa.

Huyu Mzee Sabodo na Prof Shivji mimi nawafagilia sana... Bila kujali chochote wamekuwa na Msaada mkubwa kwa watanzania.
 
Mfanya biashara maarufu nchini Mustafa Sabodo leo hii ametoa Sh 100 milioni kwa Chadema kukipongeza chama hicho kwa ushindi wa Nassari huko Arumeru. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Sabodo na kumkabidhi katibu Mkuu wa CDM, Dr W. Slaa.
Hii ni nyingine tena au ndio ile ile ya visima alivyokuwa ameahidi awali? Hata hivyo pongezi zake
 
Mkuu huyu Sabodo ni kati ya wahindi wachache wenye uzalendo sana na nchi hii toka enzi za Mwl Nyerere!pia huyu mzee biashara zake hazina magumashi na hana skendo hata moja ndio maana c.c.m wanashndwa kumgusa!......

CCM hawamuwezi Sabodo hata kidogo. Jeuri yao ni TRA lakini huyu babu ana biashara Comoro, Kenya, Ufaransa, India, Zimbabwe na Sudan. Ni mtaalam wa maswala ya fedha kimataifa, wataziba wapi?????
 
Mzee Sabodo Mungu akujalie maisha marefu ili tuendelee kushiriki kulikomboa taifa kutoka kwa wakoloni Weusi.
 
Mungu ampe afya njema na maisha marefu mzee Sabodo.
Wazee kama hawa ni wachache sana wanojua uchungu wa Mtanzania.
 
Nasikia CCM wanampango wa kumpokonya kadi ya uanachama kwa style ya kumdhalilisha ili kama kuna mwana CCM mwingine ajifunze asifanye kama sabodo


CCM hawana ubavu huo, hawajawahi kuwa na hati miliki ya watu!
 
Wamebaki wakijing'atang'ata tu. Thanx Mzee Sabodo kwa kujenga demokrasia nchini kwani umekuwa ukisaidia ukuaji wa demokrasia kwa kuviwezesha vyama. I hope lengo lako ni kutengeneza fair playing ground na wala si ile hadithi ya heavy weight against light weight
 
Wengine hawataki kutangazwa, bado ni viongozi wa CCM.


Aaa wapi, wengi akili zao ndivyo zilivyo tu wala siyo viongozi. Uoga na kujipendekeza. Pesa niliyoshuhudia ikichangwa hapa Rose Garden kwa ajili ya kutoa rushwa ili Sioi kushinda Arumeru ingetosha kutatua kabisa tatizo la maji Arumeru.

Lakini tunakaribia mwisho, sikuamini Chadema wangeweza kufanya fundraising dinner na kupata live tv coverage. Mwanzo mzuri
 
Hili ni jibu zuri sana kwa umbea uliokuwa unasambazwa na Tuntemeke na genge la washambenga wenzake
 
Back
Top Bottom