SABMILLER na Kiwanda cha VILEO Mbeya au Iringa: Lini watajenga?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SABMILLER na Kiwanda cha VILEO Mbeya au Iringa: Lini watajenga?!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Steve Dii, Jul 17, 2009.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naona market ya vinywaji vya vileo inazidi kushamiri. Kiwanda kingine cha wawekezaji kutoka moja ya kampuni kubwa za vinywaji duniani, Sabmiller kujengwa Mbeya au Iringa. Safari hii wataweza hata kutoa ULANZI, GONGO na WANZUKI kwenye makopo!!! Tunakisubiria kwa hamu tukitegemea ajira tele kwa upande wa nyanda za kusini.  Hii ilikuwa moja kwenye strategies zao huko nyuma za ku-capitalize kwenye markets za Africa:
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia TBL wanazindua kiwanda chao pale mbeya october mwaka huu
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kiwanda kikubwa cha bia tayari kimeshaanza kujengwa Mbeya mkuu....! TBL wanawekeza like Tshs 55bil.....!

  Pia wameshaanza kuajiri wafanyakazi wengie sana....so impact yake kwenye uchumi wa Nyanda za juu kusini itakuwa very significant!
   
 4. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #4
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Njowepo,
  Hiyo si tetesi bali taarifa ya ukweli na uhakika. Ujenzi unaendelea vizuri natumaini mchango wa bia katika pato la taifa utakuongezeka mara dufu. Nashauri kuanzia sasa mtu yeyote akikutana na mlevi anayumba yumba amshukuru kwa kazi nzito anayoifanya kuchangia pato la taifa.

  Msisahau kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya asali Karimjee, Oct 2009

  [​IMG]
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  mtambo unawekwa kwa mwakipesile pale mbeya na tayari ujenzi umepamba moto, NOREMCO wako mzigoni wakiwa ndo main contractor. kati ya october na november akina ndaga wataanza kunywa maji ya nyumbani kwao wenyewe.
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwanini viwand vya bia, sigara, etc vinaendelea na kuvuma sana, why viwanda vya vitu vingine muhimu havivumi au havipo kabisa? SABMILLER inaitambua TZ kwa namna wanavyopata faida hapa. Imagine wanajenga four brand new mitambo from Germany, uliza mtambo mmoja ni bei gani!! more than 10bil tshs!!
   
Loading...