imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,676
- 71,034
Inawezekana akawa ndiye mwenyewe sijawahi kuona Mtanzania anayependa kuona umwagaji wa Damu na kufurahia mateso dhidi ya Wanadamu wenzakeSiyo Sabaya mwenyewe kweli. NImeona hata jana usiku wa manane kaanzisha thread nyingine. Anaweweseka huyo. Sidhani kama alipata usingizi jana.