Sabaya tegemeo la Serikali kesi ya Mbowe

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili;

1. Kumkamata inadaiwa nikusaliti utawala wa awamu ya Tano

2. Kumfunga inadaiwa nikukwamisha mwendelezo wakuwatumia watu wa aina ya akina sabaya kufanya kazi wanazotumwa wakiofia kufunguliwa mashtaka

3. Kumfunga nikimfanya Mbowe awe shujaa Jambo ambalo litadhorotesha imani ya wananchi kwa CCM

4. Kumfunga nikupunguza kasi ya maandalizi ya suku gang kuelekea kurejesha madaraka.

Kwa mantiki hiyo mahakama inatumika kumtoa na kumfanya shahidi kwenye kesi ya Ugaidi I'll kumrejeshea umaarufu na kuwazima mdomo waliomkejeli.

Swali, je mahakama itaendelea kutumika na serikali au itazikataa mbinu chafu za serikali? Tusubirie Maamuzi ya Mahakama ya mafisadi kuhusu kesi ya Ugaidi.
 
Bado mnamuota Sabaya tu?

Kalibu kumsahau kabisa Ni Kama tumeshazika na kubaki jina.
 
Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.

Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
 
30 jela
 
Hao watu unaowaongelea sasa hivi wanaishi kama digidigi
 
Mbowe anatoka mapema sana, mama ana balance mambo kulikuwa hakuna namna nyingine ya kumtoa mbowe zaidi ya kumfunga sabaya.

Pia sabaya kwa miaka ijayo atatoka kwa msamaha wa rais na mambo yatakuwa yameisha..
 
Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.

Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
Sheria ya nchi hairuhusu kuwa kiongozi mkubwa hvyo km uliwahi kuhukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6
 
Siku Gwajima, Polepole ama Msukuma mmojawapo Kati ya Hawa akipata urais atamtoa Sabaya Lupango na kumteua kuwa waziri mkuu. Hapo ndipo waliomshitaki na wanaoendesha kesi leo wataomba dunia ipasuke.

Sabaya atawaweka ndani viongozi wote waliopo madarakani hivi Sasa.
Kiburi cha kishetani kitawaponza nyie hamkomi?
Magufuli kaenda! lile genge lake la wezi likiongozwa na mfugale limeenda, sabaya naye kaenda.

tubuni acheni maovu
 
Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili;

1. Kumkamata inadaiwa nikusaliti utawala wa awamu ya Tano

2. Kumfunga inadaiwa nikukwamisha mwendelezo wakuwatumia watu wa aina ya akina sabaya kufanya kazi wanazotumwa wakiofia kufunguliwa mashtaka

3. Kumfunga nikimfanya Mbowe awe shujaa Jambo ambalo litadhorotesha imani ya wananchi kwa CCM

4. Kumfunga nikupunguza kasi ya maandalizi ya suku gang kuelekea kurejesha madaraka.

Kwa mantiki hiyo mahakama inatumika kumtoa na kumfanya shahidi kwenye kesi ya Ugaidi I'll kumrejeshea umaarufu na kuwazima mdomo waliomkejeli.

Swali, je mahakama itaendelea kutumika na serikali au itazikataa mbinu chafu za serikali? Tusubirie Maamuzi ya Mahakama ya mafisadi kuhusu kesi ya Ugaidi.
Nina imani na Nipo linaloongozwa na Kibatala.
Ushahidi wa kutunga una matumdu mengi Sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom