Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

Mukua

Senior Member
Sep 30, 2021
148
250
Fanya mambo mengine mbona dunia imejaa mengi ya kufanya. Acha kumsimanga hayati haikusaidii na wala haimsaidii huko alipo.
Alijitabiria yeye mwenyewe kuwa akifa kaburi lake Lita stahili hata kuchapwa viboko.
acha wenye makovu na majeraha walitandike Hadi hamu yao iishe.
 

Bepari la bariadi

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
416
1,000
Wewe ndo fala na mpumbavu kupindukia kabisa,jinga wahedi hujui hata neno la Mungu.
Wewe ukimwudhi Mungu unadhani utaishi? Unadhani kuishi Duniani ni kwa akili zako na Upumbavu wako?
Unajua ni kwanini Mungu aliamua viumbe vyote vife?
Unadhani kifo ni zawadi au ni process nzuri? Wewe Boya unapenda kufa? Kwanini Mungu anaishi milele hafi? Stupid sana wewe,kifo ni laana siyo Baraka mbuzi wewe.
Magufuli angekuwa mwema angeishi miaka 95 ,hujui kuwa Dhambi inapunguza umri wa kuishi Duniani?
Soma neno la Mungu kima pori wewe
😂😂 Sijawahi kutana na mwendawazimu wa kiwango hiki tokea misingi ya dunia iundwe.
Kweli nimeamini kua uyaone.
Hata watoto wanakufa chini ya Miaka mitano nao walitenda dhambi mpk zikawapungukia Miaka ya kuishi?
Kweli taahira huona kila mtu ni tahira.
Good morning moron
 

ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
1,717
1,250
Msiwe mnatuletea mada za kipumbavu,Sabaya ulimkuta lini anaelekezwa na Magifuli kufanya aliyo fanya?

Unatuaminishaje kwamba Sabay amefanya hayo yote na si tu ametengenezewa makosa na wabaya wake ambao aliwataka waipe kodi na watende haki?

Iwapo wewe mwenyewe hukua pamoja nao na unafanya kuleta mada kulingana na mawazo yako jaribu kupunguza ushamba na ujingi mwingi kisha ufuate maisha yako kuliko kuzungumza usicho kijua kwa mapenzi yako binafsi

Alisema alikuwa anatekeleza aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi
 

WALOLA VUNZYA

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
899
1,000
Ndiyo kwa nini yeye pekee yake asimangwe,mbona Nyerere hasimangwi,mbona Mkapa hasimangwi,hivi hujiulizi sababu ni nini ni chuki binafsi za watu au ni ufinyu wa fikra.
Sio jambo zuri kumsimanga marehemu asiyeweza kujitetea. Kumbuka hilo, kwamba na wewe ni marehemu mtarajiwa.
 

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
986
1,000
Hakuna pumziko kwa mtu mwovu
We unajuaje kama ni muovu! Unajua mungu anafikiria bini! Unajua uovu unaouona wewe inawezekana kwa mungu ni blessing. We mungu unamjua anataka nini au tunajaribu kubashiri tu kwamba inawezekana mungu anataka hiki au hataku kile. Mi naamini hakuna anayejua mungu anataka nini. Probably aliyoyafanya jpm ndo mungu anataka
 

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,102
2,000
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.

Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.

"I embrace him because he walks my ways"

Pumzika kwa amani Magufuli.

Mkuu Mama Samia Ni zao la JPM. Jaji mkuu. Marehemu mama mkuu wa mkoa mstaafu wa Kilimanjaro Ni zao la JPM. Mkuu wa mkoa wa Dodoma naye alikuwamo. Je hao wanaakisi Nini.

Watu Wema ndo hutangulia haraka kwa Mungu. Wabaya huishi muda mrefu ili wapate muda wa kutubu. Mfano wewe kipenzi cha ……. mtaishi mpaka miaka 120 ili mtubu haya mnayofanya Sasa. Unatumia fallacies kuandika conclusions zako. Sijui kichwani una Shida gani. Katibiwe mkuu mapema ukichaa sio kuokota makopo tu. Ni aina yako ya kupambana na mtu ambaye hawezi jitetea.

Kama huna Uzi, andika tu hata historia ya maisha yako tutacomment tu.
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,789
2,000
Ukitaka kujua alipendwa kiasi gani alisindikizwa mpaka uwanja wa ndege pale katika ile sehemu ya ndege kupaa, watu hawakujali mazingira yalikuwa vipi. Huyo ndio mtu wa watu anavyoagwa, aliyegusa maisha ya wengi.
Kweli aligusa (+ & -) maisha ya wengi, si alikuwa Raisi.
Walikuwamo wengi tu; wasiotaka kupitwa na kitu, majobless waliopata pa kwenda siku hiyo, ma pick pocket, akina 'Tomaso' na waliokuwa wameenda kuthibitisha kama mtesi, mjivuni kaondoka kweli.
 

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,816
2,000
Apumzike? Unajua kuwa matendo yake yamesababisha wengi sasa hivi pamoja na kuwa hai lakini hawako kwenye mapumziko ila taabu tuu ambazo chanzo ni Magufuli?
Huyu alistahili hata kama kafa kizazi chake ki face consequence ikiwezekana hata tuwatembezee bakora mara moja kila mwezi ili wajute kuwa watoto au wajukuu wa kiumbe cha aina ile badala ya kula pension kutoka kwa jasho letu.
Bora sabaya hajaacha watoto huku mtaani akifanikiwa kutoka sio chini ya umri wa miaka 87
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom