Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

In
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.
Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua.
Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.
"I embrace him because he walks my ways"
Pumzika kwa amani Magufuli.
Intelligence sio Usalama wa Taifa😅😅😅....nimeishia hapo nikahitimisha ni blabla
 
Kwanini unatumia nguvu kubwa kiasi hiki kumtetea Magufuli? Soma mada uelewe,acha kuhemka kishabiki,nyie ndo mlimponza Magufuli hadi akafa, mlikuwa mkimwabudu,hadi sasa unamwabudu,unamwona ni mtakatifu kupindukia ambaye hakuwahi kutenda Dhambi.
Ishu siyo eti kila mtu atakufa, ishu ni umekufaje? Muda wako ulifika au bado?
Magufuli alikuwa jitu ovu, katili la kutisha, na muuaji asiye na huruma kabisa.
Kama angekuwa hai, Kwanza asingeondoka madarakani,pili, angefanya msako nyumba hadi nyumba kusaka wapinzani awaue wote.
Angesababisha Tanzania ivamiwe kijeshi Kama Libya, alikuwa mjinga Kama Idd Amin,alianzisha chuki na wazungu bila sababu kisa tu walimwambia aheshimu
Demokrasia.
Alikuwa Rais wa hovyo kabisa aliyependwa na wajinga .
Kabsaa..alisahau duniani Tunapita !
 
Thibitisha kama muda wa kufa Magufuli haukufika, ilitakiwa afe akiwa na umri gani? Thibitisha sisi tulimponzaje mpaka magufuli akafa mapema, alafu unasema tulikua tukimwabudu, unaweza ukathibitisha huko kumwabudu tulifanya wapi na lini?

Kuongea uongo na kashfa hapa JF unadhani kutakusaidia? Unadhani unaijua siku yako ya kufa? Unajua utakufaje? Likes na comments za mitandaoni zisikutoe ufahamu ndugu yangu, sijui umri wako ila inaonekana ni mtoto mpumbavu.
 
Waseme hao watu ambao Magufuli aliwasababishia hizo shida, lete ushahidi Magufuli alihusikaje? Kama ni kifo hata baba yako atakufa tu, kama alishakufa basi mama ako yupo njiani kwenda kaburini.
Acha ujinga,kwa nini mlikuwa mnaimba kwamba,Idd Amin akifa mimi siwezi kulia nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba,jibu ni matendo matendo matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno,Magufuri alikuwa mwuaji.
 
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.

Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.

"I embrace him because he walks my ways"

Pumzika kwa amani Magufuli.
Plus Muciba
 
Thibitisha kama muda wa kufa Magufuli haukufika, ilitakiwa afe akiwa na umri gani? Thibitisha sisi tulimponzaje mpaka magufuli akafa mapema, alafu unasema tulikua tukimwabudu, unaweza ukathibitisha huko kumwabudu tulifanya wapi na lini?

Kuongea uongo na kashfa hapa JF unadhani kutakusaidia? Unadhani unaijua siku yako ya kufa? Unajua utakufaje? Likes na comments za mitandaoni zisikutoe ufahamu ndugu yangu, sijui umri wako ila inaonekana ni mtoto mpumbavu.
Laiti angalijua kuwa atakufa mwezi March asingaliweza kupora uchaguzi maana alijua fika kuwa kuna hukumu baada ya kifo.
 
Kwanini unatumia nguvu kubwa kiasi hiki kumtetea Magufuli? Soma mada uelewe,acha kuhemka kishabiki,nyie ndo mlimponza Magufuli hadi akafa, mlikuwa mkimwabudu,hadi sasa unamwabudu,unamwona ni mtakatifu kupindukia ambaye hakuwahi kutenda Dhambi.
Ishu siyo eti kila mtu atakufa, ishu ni umekufaje? Muda wako ulifika au bado?
Magufuli alikuwa jitu ovu, katili la kutisha, na muuaji asiye na huruma kabisa.
Kama angekuwa hai, Kwanza asingeondoka madarakani,pili, angefanya msako nyumba hadi nyumba kusaka wapinzani awaue wote.
Angesababisha Tanzania ivamiwe kijeshi Kama Libya, alikuwa mjinga Kama Idd Amin,alianzisha chuki na wazungu bila sababu kisa tu walimwambia aheshimu
Demokrasia.
Alikuwa Rais wa hovyo kabisa aliyependwa na wajinga .
Hakika,alipendwa sana na wajinga wenzie.
 
We jamaa ni mpumbavu wa kiwango Cha juu kabisa kuwahi kushuhudiwa katika kizazi hiki.
Kufa ni moja wapo ya sifa ya kiumbe hai.na so adhabu ya uovu fake unampa shujaa,Mwana wa afrika halisi,jemedari na kiboko ya mafisadi,na majizi mliokuwa mmezoea kuchuma bila kupanda the Great JPM Mwamba wa kanda ya ziwa.

Nitume na manabii wote walikufa,je nikwasababu waligombana na wazungu juu ya democracy?
Shujaa anawafirimba japo kafariki 😂😂
Wale maaskari wa Farao kule Misri waliotumbukia bahari ya shamu na kufariki si walisababisha furaha kwa wana wa Israel?? Kifo cha Magufuri kimeleta faraja kwa wateswaji,historia itaendelea kumuhukumu.
 
Hakika alichukiwa na watu wenye mtazamo duni alikuwa NI kiongozi shupavu na watu legelege hawawezi kumpenda .simama imara pambana acha kulalamika kwa ajili ya Rais maisha NI kupambana PAMBANA
 
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.

Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.

"I embrace him because he walks my ways"

Pumzika kwa amani Magufuli.
Apumzike kwa amani tena? Au apewe kibano Cha hatari!
 
Apumzike? Unajua kuwa matendo yake yamesababisha wengi sasa hivi pamoja na kuwa hai lakini hawako kwenye mapumziko ila taabu tuu ambazo chanzo ni Magufuli?
Huyu alistahili hata kama kafa kizazi chake ki face consequence ikiwezekana hata tuwatembezee bakora mara moja kila mwezi ili wajute kuwa watoto au wajukuu wa kiumbe cha aina ile badala ya kula pension kutoka kwa jasho letu.
Wafutwe kabisa...
 
Hakika alichukiwa na watu wenye mtazamo duni alikuwa NI kiongozi shupavu na watu legelege hawawezi kumpenda .simama imara pambana acha kulalamika kwa ajili ya Rais maisha NI kupambana PAMBANA
Wote wenye mawazo duni walimpenda kiongozi gani wa kuvunja umoja wa kitaifa na kuleta ukabila nchini??
 
Leo hii Tundu Lisu ni kilema kwa sababu ya Magufuri,Mbowe yuko mahabusu kwa sababu ya Magufuri,Sabaya yuko jela kwa sababu ya Magufuri,tabia zake zinafanya achukiwe na watu wenye fikra pana ila wenye fikra duni matatizo yenu ni kufikiria njaa ya matumbo yenu,hebu Jiulize Nyerere alivyokuwa anapendwa na sasa anapendwa je alikuwa anawapelekea chakula majumbani kwao pumbavu?
Hakika alichukiwa na watu wenye mtazamo duni alikuwa NI kiongozi shupavu na watu legelege hawawezi kumpenda .simama imara pambana acha kulalamika kwa ajili ya Rais maisha NI kupambana PAMBANAL
 
Back
Top Bottom