goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,852
- 12,981
Mm nimekah nae mexa moja kula chskula Cha serekaali ila kiukweli jamaaa huy anajidai na anamajigambo mno hafai hata ukatibu tarafaaa mnyanyasaji sanaSabaya ni Bashite type. Huyu jamaa anajiona sana yupo juu ya sheria na kupiga piga watu ndio kawaida yake.