Sabaya matatani kwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha

Mods futeni hii ujinga,ni kuchafua watu
Huyu jamaa ni tabia yake ana matukio mengi na yote ni yakijinga kijinga alisha shikwa Arusha akijifanya usalama wa taifa ,mail stone alisha kula kaondoka bila kulipa aliwasingizia watu wamevunja reli,akija Arusha tabia yake ni ubabe kwahiyo hili siyo geni ,watu wanamvungia tu,lile tukio la kumpiga dogo risasi ni kweli alivuta mkwanja watu wakatulia ,amesha zoeaya hakuna wa kumuambia kitu,ila amesahau Mungu akiamua kukuanika peupe huna ujanja
 
Uliona wivu tu kijana pambana utoke kwenye nafasi za chini kwa kupambana sio majungu.
Mm nimekah nae mexa moja kula chskula Cha serekaali ila kiukweli jamaaa huy anajidai na anamajigambo mno hafai hata ukatibu tarafaaa mnyanyasaji sana
 
Huyu jamaa ni tabia yake ana matukio mengi na yote ni yakijinga kijinga alisha shikwa Arusha akijifanya usalama wa taifa ,mail stone alisha kula kaondoka bila kulipa aliwasingizia watu wamevunja reli,akija Arusha tabia yake ni ubabe kwahiyo hili siyo geni ,watu wanamvungia tu,lile tukio la kumpiga dogo risasi ni kweli alivuta mkwanja watu wakatulia ,amesha zoeaya hakuna wa kumuambia kitu,ila amesahau Mungu akiamua kukuanika peupe huna ujanja
Umekula? Au njaa inakusumbua kwa Ubongo?
 
Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!!
Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia.
Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!
Huyo ni Kiboko, na atapewa Mkoa kabisa

Mfalme anahitaji watu wanaoenda sawasawa na tabia pamoja na kasi yake
 
Hakuwa mtu mbaya alpokua president unversty..... SJui kmempata nn sabaya kama kawa hvo
 
Back
Top Bottom