Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
2,496
1,797
Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu.

Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao.

1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji

2) Jitihada za kutengeneza jamii ya haki.

3) Kurudisha heshima na uwajibikaji wa watumishi wa uma Hai.

4) Kuondoa wizi wa kutumia silaha na Wilaya kutulia.

5) Ubabe usio na lazima katika kutafuta haki kwa wenye vijijini cent (huwezi ukawa na pesa ukaishi Hai ).

6) jamii kujua kumbe mabadiliko yanawezekana mradi tuu wengi muamue, wezi wote wa silaha wamepotea na kuhama, mbegu ya wizi wa silaha ilioachwa na kina Lema umeipoteza, tunafahamu kwa nini Lema alikuwa anakukasirikia muda wote. Waliopotea ni vijana wake na aliumia.

7) Watanzania wa Hai tunaanza kujua kumbe tuna tofauti sana na wasimamizi wako. Siku zijazo tutajua serikali inawapenda watu wake au Serikali inawapenda wahalifu na iko upande wa waovu wachache wenye kelele. .

8) Kwa sababu maisha huamuliwa vyema na wakati, kumbukumbu yetu kwa yale mema uliyo tutendea itadumu milele kwa waliokuwa wakidhulumiwa, kudharaulika na kuuwawa.

9) Umewaacha yatima jamii kubwa inayo ishi Wilaya ya Hai muda mrefu vizazi kwa vizazi bila kuwa na mashamba na makazi ya hakika. Kwa kuanza kuwasaidia labda kuna wasio wapenda maskini wasaidiwe.

10) Umeetuunganisha na wenzetu Waislamu katika mengi ambapo zamani wakionewa tunasema hao ni Waislamu. Umewarudishia ardhi yao ya kujenga shule na misikiti ambapo iliporwa kwa kuwa hatukutaka hiyo misikiti iwe karibu nasi. Na shule zisijengwe ili wasitutangulie na waendelee kubaki wapagazi wetu.

11) Tuna wasiwasi kama vitendo vya ukabila vya chini kwa chini vilivyopotea kama havitorudi kivingine kwa kasi.

12) KIJANA WETU SABAYA UMETUONYESHA KUMBE SERIKALI INAWEZA KUWA KARIBU NA WATU WAKE, WANANCHI WAKASIKILIZWA, WAKAHUDUMIWA, NA WAKAIPENDA NA KUIHESHIMU SERIKALI YAO.

13) WENYE MAMLAKA TUNAOMBA UITISHWE UCHAGUZI MPYA JIMBONI KWETU ILI TUWATUMIE SALAMU NA KELELE ZIISHE.
 
Kosa kubwa la Sabaya pale Hai ni kurejesha ardhi ya Waislam waliyoporwa na matajiri wa Hai na kuirudisha kwa BAKWATA.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Mashamba ya Ushirika iliyoporwa na matajiri wa Hai na kuwapa Wananchi wanyonge walime na kujipatia mlo wao badala ya kukodishwa na Matajiri.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kufukua mapango ya majambazi wa Magari Arusha, Moshi, Mererani na Dar es salaam yaliyokuwa yanajificha wilayani Hai, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwarejeshea Walimu waliyodhulumiwa pesa zao na Qnet.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwapigania Wananchi wanyonge waliyoporwa ardhi yao pale Hai na matajiri wa Kimachame.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Jimbo la Hai, Halmashauri ya Wilaya na Halmashauri ya Vijiji mikononi mwa CCM, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuongeza makusanyo ya Kodi ya TRA na Kodi ya Halmashauri ya Wilaya na kuwadhibiti wakwepa Kodi huko Hai.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwafanya Wananchi wa Hai waishi bila hofu ya Ujambazi.

Kama huu ndiyo Ujambazi wa Lengai Ole Sabaya basi tunawahitaji majambazi wengi zaidi wa aina hii hapa Tanzania ili tuweze kusonga Mbele.

Watalaam wa Utambuzi wanasema ukimwahamisha OCD au Mkuu wa Kituo halafu wanaoshangilia sana ni wahalifu halafu Wananchi wanyonge wanasikitika jitafakari mara mbili.

Nimefuatilia kwenye social media hata kule Hai tangu ili sakata la kusimamishwa kazi DC Lengai Ole Sabaya wanaoshangilia sana ni majambazi wa Hai na majahili wa Siasa hapa nchini yaani CHADEMA kuliko wananchi wanyonge wa Hai na wananchi Wazalendo wa Taifa hili.

Lengai Ole Sabaya sisi kwetu WanaCCM ni shujaa aliyejitoa maisha na Uhai wake kupigania CCM hata kabla hajawa Mkuu wa Wilaya. Lengai Ole Sabaya ni kati ya Vijana wachache ndani ya CCM ambao wako tayari kupoteza Uhai wao kwa kupigania maslahi ya Chama Cha Mapinduzi.

Lengai Ole Sabaya ni Shujaa Kijana na kiongozi Mahiri wa Baadae wa Chama cha Mapinduzi huko Kaskazini mwa Tanzania anachopaswa kufanya ni kutuliza akili na kujijenga ndani ya chama na kuachana na Vyeo vya Uteuzi.

Lengai Ole Sabaya atakuja kuwa moja ya Wanasiasa wakubwa katika Ukanda wa Kaskazini kama akina Edward Sokoine, Edward Lowassa na Cleopa David Msuya.

Niseme kuwa Lengai Ole Sabaya nimefahamiana naye wakati wa sakata la Bomu la Olacity ambapo Balozi wa Papa hapa nchini alinusurika kuwawa pale Arusha ambapo kijana Lengai Ole Sabaya alifanya kazi kubwa sana, namtambua kuwa ni kijana Jasiri na Mzalendo kwa Taifa lake.

Pamoja na kwamba baada ya kupata Ukuu wa Wilaya aligeuka na kutengenezea watu Majungu na mimi ni wahanga wa Lengai Ole Sabaya kwa Wasaidizi wa Rais Ikulu na kutaka kunichonganisha na Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli mimi binafsi niliamua kumsamehe na kumuachia Mungu lakini hiyo tu haiondoi ukweli kwangu kuwa Lengai Ole Sabaya kwetu wanaccm anabaki kuwa Shujaa na Kijana mpambanaji Kweli kweli.

Kusimamishwa kwa Uchunguzi siyo mwisho wa siasa nakumbuka aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Comred Shaka Hamdu alisimamishwa kwa Uchunguzi kwa Tuhuma za Uongo aliyopandikiziwa na wabaya wake wa Kisiasa, baada ya uchunguzi akaonekana hana hatia Leo hii ndiyo Katibu Mwenezi wetu Taifa.

Mara nyingi wanasiasa Mashupavu kama akina Shaka na Lengai Ole Sabaya wanapitia katika masahibu mengi sana hata kufungwa jela hata kunusurika kuuwawa lakini hiyo haiwezi kuzima ndoto zao za kupigania vitu wanavyoviamini.
Mapambano ya Kisiasa ni kufa na Kupona wakati mwingine hata kupoteza Maisha.

Viongozi wetu chama lazima watambue kuwa hakuna siku wapinzani wa CCM watamfurahia kiongozi shupavu wa CCM, viongozi wetu wa chama watambue kuwalinda vijana wanaopigania chama kwa gharama yoyote ili kuwatia Moyo vijana wengine wanaopigania chama kama kuna changamoto za Kimaadili chama chetu kina idara maalum ya Usalama na Maadili kwa Viongozi na wanachama wake warekebishane huko.

Kusimamishwa kazi kwa Lengai Ole Sabaya inawezekana ikawa ni njia Bora zaidi ya Kumuhimarisha kisiasa.

Kosa alilofanya Lengai Ole Sabaya hakujitambua kuwa Yeye ni Kiongozi wa Umma na hakupaswa kwenda kwenye Media kuongea mambo yake Binafsi badala ya mambo yanayohusu masuala ya serikali tu.

Kosa ili wamefanya viongozi wengi wa awamu ya Rais Magufuli, ukiwa kiongozi wa Umma kuna mambo hupaswi kuongea na vyombo vya habari bila idhini wa viongozi wako.
Hapa Lengai Ole Sabaya alikosea na Mimi niliposikia ile Interview yake niliona makosa makubwa sana.

Nadhani Viongozi wetu wa chama na serikali wataliangalia ili Suala la Lengai Ole Sabaya kwa mapana makubwa ya Kisiasa za Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kufanya maamuzi ya Busara kwa Manufaa ya CCM.

Eid Mubarak.
 
Mpumzike kwa amani
Kosa la Power Lensabaya Pale Hai ni kurejesha Ardhi ya Waislam waliyoporwa na Matajiri wa Hai na kuirudisha kwa Bakwata,
Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Mashamba ya Ushirika iliyoporwa na matajiri wa Hai na kuwapa wananchi wanyonge walime na kujipatia mlo wao badala ya kukodishwa na Matajiri.
Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kufukua mapango ya majambazi wa Magari Arusha, Moshi, Mererani na Dar es salaam yaliyokuwa yanajificha wilayani Hai, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwarejeshea Waalimu wanyonge waliyodhulumiwa Pesa zao na Qnet,
Kosa la Lengai ole Sabaya ni kuwapigania wananchi wanyonge waliyoporwa Ardhi yao pale Hai na matajiri wa Kimachame,
Kosa la Lengai ole Sabaya ni kurejesha Jimbo la Hai, Halmashauri ya Wilaya na Halmashauri ya Vijiji mikononi mwa CCM, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuongeza makusanyo ya Kodi ya TRA na Kodi ya Halmashauri ya Wilaya na kuwadhibiti wakwepa Kodi huko Hai,
Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwafanya Wananchi wa Hai waishi bila hofu ya Ujambazi.
Kama huu ndiyo Ujambazi wa Lengai Ole Sabaya basi tunawahitaji majambazi wengi zaidi wa aina hii hapa Tanzania ili tuweze kusonga Mbele.
Watalaam wa Utambuzi wanasema ukimwahamisha OCD au Mkuu wa Kituo halafu wanaoshangilia sana ni wahalifu halafu wananchi wanyonge wanasikitika Jitafakari mara Mbili.
Nimefuatilia kwenye social media hata kule Hai tangu ili sakata la kusimamishwa kazi DC Lengai Ole Sabaya wanaoshangilia sana ni Majambazi wa Hai na majahili wa Siasa hapa nchini yaani Chadema kuliko wananchi wanyonge wa Hai na wananchi Wazalendo wa Taifa ili.
Lengai Ole Sabaya sisi kwetu wanaccm ni shujaa aliyejitoa maisha na Uhai wake kupigania CCM hata kabla hajawa Mkuu wa Wilaya
Lengai ole Sabaya ni kati ya vijana wachache ndani ya CCM ambao wako tayari kupoteza Uhai wao kwa kupigania maslahi ya Chama Cha Mapinduzi
Lengai Ole Sabaya ni Shujaa Kijana na kiongozi Mahiri wa Baadae wa Chama cha Mapinduzi huko Kaskazini mwa Tanzania anachopaswa kufanya ni kutuliza akili na kujijenga ndani ya chama na kuachana na Vyeo vya Uteuzi.
Lengai Ole Sabaya atakuja kuwa moja ya Wanasiasa wakubwa katika Ukanda wa Kaskazini kama akina Edward Sokoine, Edward Lowassa na Cleopa David Msuya.
Niseme kuwa Lengai Ole Sabaya nimefahamiana naye wakati wa sakata la Bomu la Olacity ambapo Balozi wa Papa hapa nchini alinusurika kuwawa pale Arusha ambapo kijana Lengai Ole Sabaya alifanya kazi kubwa sana, namtambua kuwa ni kijana Jasiri na Mzalendo kwa Taifa lake.
Pamoja na kwamba baada ya kupata Ukuu wa Wilaya aligeuka na kutengenezea watu Majungu na mimi ni wahanga wa Lengai Ole Sabaya kwa Wasaidizi wa Rais Ikulu na kutaka kunichonganisha na Hayati Dr.John Pombe Joseph Magufuli mimi binafsi niliamua kumsamehe na kumuachia Mungu lakini hiyo tu haiondoi ukweli kwangu kuwa Lengai Ole Sabaya kwetu wanaccm anabaki kuwa Shujaa na Kijana mpambanaji Kwelikweli.
Kusimamishwa kwa Uchunguzi siyo mwisho wa siasa nakumbuka aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Comred Shaka Hamdu alisimamishwa kwa Uchunguzi kwa Tuhuma za Uongo aliyopandikiziwa na wabaya wake wa Kisiasa, baada ya uchunguzi akaonekana hana hatia Leo hii ndiyo Katibu Mwenezi wetu Taifa.
Mara nyingi wanasiasa Mashupavu kama akina Shaka na Lengai Ole Sabaya wanapitia katika masahibu mengi sana hata kufungwa jela hata kunusurika kuuwawa lakini hiyo haiwezi kuzima ndoto zao za kupigania vitu wanavyoviamini.
Mapambano ya Kisiasa ni kufa na Kupona wakati mwingine hata kupoteza Maisha.
Viongozi wetu chama lazima watambue kuwa hakuna siku wapinzani wa CCM watamfurahia kiongozi shupavu wa CCM, viongozi wetu wa chama watambue kuwalinda vijana wanaopigania chama kwa gharama yoyote ili kuwatia Moyo vijana wengine wanaopigania chama kama kuna changamoto za Kimaadili chama chetu kina idara maalum ya Usalama na Maadili kwa Viongozi na wanachama wake warekebishane huko.
Kusimamishwa kazi kwa Lengai Ole Sabaya inawezekana ikawa ni njia Bora zaidi ya Kumuhimarisha kisiasa.
Kosa alilofanya Lengai Ole Sabaya hakujitambua kuwa Yeye ni Kiongozi wa Umma na hakupaswa kwenda kwenye Media kuongea mambo yake Binafsi badala ya mambo yanayohusu masuala ya serikali tu.
Kosa ili wamefanya viongozi wengi wa awamu ya Rais Magufuli, ukiwa kiongozi wa Umma kuna mambo hupaswi kuongea na vyombo vya habari bila idhini wa viongozi wako.
Hapa Lengai Ole Sabaya alikosea na Mimi niliposikia ile Interview yake niliona makosa makubwa sana.
Nadhani Viongozi wetu wa chama na serikali wataliangalia ili Suala la Lengai Ole Sabaya kwa mapana makubwa ya Kisiasa za Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kufanya maamuzi ya Busara kwa Manufaa ya CCM.
Eid Mubarak.
 
Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu.

Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao.

1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji

2) Jitihada za kutengeneza jamii ya haki.

3) Kurudisha heshima na uwajibikaji wa watumishi wa uma Hai.

4) Kuondoa wizi wa kutumia silaha na Wilaya kutulia.

5) Ubabe usio na lazima katika kutafuta haki kwa wenye vijijini cent (huwezi ukawa na pesa ukaishi Hai ).

6) jamii kujua kumbe mabadiliko yanawezekana mradi tuu wengi muamue, wezi wote wa silaha wamepotea na kuhama, mbegu ya wizi wa silaha ilioachwa na kina Lema umeipoteza, tunafahamu kwa nini Lema alikuwa anakukasirikia muda wote. Waliopotea ni vijana wake na aliumia.

7) Watanzania wa Hai tunaanza kujua kumbe tuna tofauti sana na wasimamizi wako. Siku zijazo tutajua serikali inawapenda watu wake au Serikali inawapenda wahalifu na iko upande wa waovu wachache wenye kelele. .

8) Kwa sababu maisha huamuliwa vyema na wakati, kumbukumbu yatu kwa yale mema uliyo tutendea itadumu milele kwa waliokuwa wakidhulumiwa, kudharaulika na kuuwawa.

9) Umewaacha yatima jamii kubwa inayo ishi Wilaya ya Hai muda mrefu vizazi kwa vizazi bila kuwa na mashamba na makazi ya hakika. Kwa kuanza kuwasaidia labda kuna wasio wapenda maskini wasaidiwe.

10) Umeetuunganisha na wenzetu Waislamu katika mengi ambapo zamani wakionewa tunasema hao ni Waislamu. Umewarudishia ardhi yao ya kujenga shule na misikiti ambapo iliporwa kwa kuwa hatukutaka hiyo misikiti iwe karibu nasi. Na shule zisijengwe ili wasitutangulie na waendelee kubaki wapagazi wetu.

11) Tuna wasiwasi kama vitendo vya ukabila vya chini kwa chini vilivyopotea kama havitorudi kivingine kwa kasi.

12) KIJANA WETU SABAYA UMETUONYESHA KUMBE SERIKALI INAWEZA KUWA KARIBU NA WATU WAKE, WANANCHI WAKASIKILIZWA, WAKAHUDUMIWA, NA WAKAIPENDA NA KUIHESHIMU SERIKALI YAO.

13) WENYE MAMLAKA TUNAOMBA UITISHWE UCHAGUZI MPYA JIMBONI KWETU ILI TUWATUMIE SALAM NA KELELE ZIISHE.
Mbona umesahau Kumsifia kwa Ukatili na Utekaji Watu
 
Sema akyamungu!!
 
Magembe, wewe si ndio ulikuwa unalamba makalio ya viongozi wa ccm ili ulambe uteuzi?
Sasa kwa hili ufanyalo kwa akili yako unadhani unaitetea CCM wakati unamtusi mwenyekiti wa CCM mama Samia aliyetoa maamuzi ya kumfyeka jambazi Sabaya.
Sasa uteuzi itakuwa ngumu kuuona kwako kama ilivyo ngumu kuona makalio ya mama mkwe wako
 
Hata Mwendazake mlimsifia hivyo hivyo kuwa Kiboko ya Chadema Yuko Wapi ?
 
Nakushauri ungetulia kwanza, tunajua kutumbuliwa kunauma...take a deep breath, toka na mama watoto nenda hata hapo burigi chato karefresh.
You are still young, kuna fursa nyingi nje ya ukuu wa wilaya. Jifunze kujidhibiti, siasa ni timing...mori za kimaasai hazitokufikisha popote.
 
Back
Top Bottom