Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

Atuletee na ushahidi wa yeye kupewa hayo maagizo na Ikulu ya JPM na makamu wake akiwa SSH ambaye atakua shahidi mzuri sana😂😂😂

Nawaona wale wa kusema mama alikua hashirikishwi.... mama anahujumiwa😎😎
 
Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu.

Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa letu.

Yaani wananchi wanapiga kura kisha kuteua mtu ambaye anapewa mamlaka ya kuwa rais ili aongoze taifa kwa niaba ya watanzania wote, alafu anatuma mtu au watu maalulu ili kwenda kutesa na kupora kwa kutumia siraha.

Hii ni aibu na fedheha kwa taifa letu.
Haya ya Sabaya kuhusisha ikulu ni ya kufikirisha.
 
Sabaya hajaiaibisha ikulu, katoa picha khalisi ya namna katiba ya mwaka 1977 inavyoweza kumfanya mtawala akawa jambazi, mtekaji, mtunguaji na hayawani kabisa, na akifanya unyambilisi wake wote huo, hamna wa kumuuliza, wote mnaufyata mkia
Mh?
 
Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu.

Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa letu.

Yaani wananchi wanapiga kura kisha kuteua mtu ambaye anapewa mamlaka ya kuwa rais ili aongoze taifa kwa niaba ya watanzania wote, alafu anatuma mtu au watu maalulu ili kwenda kutesa na kupora kwa kutumia siraha.

Hii ni aibu na fedheha kwa taifa letu.
Toka awamu ya kwanza watu wameteseka Sana..unajua kwa Nini wanaimba CCM ni Ile Ile..
 
Wewe umemuamini ole🤔

Wacha tusubiri hukumu
Kabla hata ya kusema haya aliyoyasema kulikuwa na viashiria vyote kuwa kuna walio juu yake.

Alikuwa anafanya uhalifu mkubwa sana na watu walilalamika sana na CCTV camera video zilikuwepo lakini alikuwa hachukuliwi hatua yoyote ile.

Alikuwa anatumia hadi magari ya UN kufanya uhalifu lakini alikuwa haguswi.

Serikali haramu ya Magufuli ambayo ilikuwa haina kibali cha wananchi ilikuwa ni serikali ya kigaidi iliyowapa wateule wake kiburi cha hali ya juu.
 
Kabla hata ya kusema haya aliyoyasema kulikuwa na viashiria vyote kuwa kuna walio juu yake.

Alikuwa anafanya uhalifu mkubwa sana na CCTV camera video zilikuwepo lakini alikuwa hachukuliwi hatua yoyote ile.

Alikuwa anatumia hadi magari ya UN kufanya uhalifu lakini alikuwa haguswi.

Serikali haramu ya Magufuli ambayo ilikuwa haina kibali cha wananchi ilikuwa ni serikali ya kigaidi.

Aliyekua makamu wa rais na aliyekua waziri wa fedha sasa ni rais na makamu wake
Subiri upate majibu

Mi nasubir Kwa hamu mana walimwangushia jumba bovu sabaya na wakamfukuza kazi kumbe na wao wamo
😂😂😂
 
Mpunguzieni raisi nguvu kubwa alionayo na pia mifumo imara ya nchi, kama kiongozi anaweza toa oda ya operetiona za kihuni kufanyanyika bila kufuata taratibu na sheria kuna tatzo kwenye vyombo vya ulinzi, washauri wa raisi na usalama wa taifa, vitu vingine ni aibu kwa nchi
Yanaongelewa kuwa maovu yasiyokemewa ni swala la muda tu kabla hawajazitoa hata siri zao za uvunguni. Mungu huadhibu tawala zilizofitinika kwa njia mbalimbali.
 
K
Tatizo la Magu ilikuwa ni kutoa order: "...fanya lolote uwezalo ili mradi....". Hii ilifanya watu wafanye kila kitu ili mradi mzee anaridhika. Kweli wengi wameumia hata kupoteza maisha kwa mtindo huu.
Kwa hiyo Magufuli alikuwa afanyi Risk assessment kabla ya kuwatuma kazi?
 
Back
Top Bottom