Sabaya, haya maneno aliyasema pale Hai mkoani Kilimanjaro

Inafikirisha sana jinsi Samia anavyoishi na hawa watesaji , wanyang’anyi na wauaji. Sukuma GANG , wamemuondelea hesima kwa jamii kwenye kesi ya Mbowe.
Sabaya amevamia hotel usiku ili amuue Mbowe, Sabaya huyo huyo aliposhindwa kumuua Mbowe akashirikiana na kina Kingai wakaandaa kesi ya Ugaidi kwa Mbowe.
Sukuma GANG wakamletea Samia BBC aseme ushahidi upo Mbowe Gaidi.
Yaani Mbowe alitaka kumua Sabaya aliehukumiwa miaka30 jela.
 
Ipo siku hata mawe yataongea kuwa mh Mbowe siyo gaidi.
 
Watu wana msemo kuwa maneno tanaumba.

Sabaya alitoa haya maneno pale mkoani Kilimanjaro na wana Kilimanjaro tukapigwa na mshangao mkubwa.

Kweli maneno uumba.

..View attachment 1979437

05CAACA9-1D24-4E9A-8A47-1A1436ADD86C.jpeg

C095CE92-76C6-4069-87FD-FA8C8DD3D8CC.jpeg

6434CA52-1941-4F57-8D58-F895BD08D03A.jpeg
 
Back
Top Bottom