Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

Acheni kupoteza muda Wenu fanyeni Kazi za Kuendeleza Familia zenu Kimaendeleo huyu Ole Sabaya hatofungwa na Kesi zote atazipangua ila mtazugwa kwa Yeye kuwa huko Rumande mpaka pale Tukio Kubwa na Baya litakapoandaliwa 'Kimkakati' na Wananchi wengi kuhangaika nalo Kulijadili kwa Mihemko na Kudemka kisha Yeye anaachiwa Huru.
Mjinga gani aandae tukio kubwa kwa ajili ya mtu duni kama Sabaya ? wadanganye wajinga
 
juzi si kaachiwa huru? why?

mwanzo mbaya

wewe kila siku unajipa moyo, uko nje maisha ni tofauti kabisa na jumu JF

wewe sio siasa tu hata personal life ni mtu wa kukosakosa, kushindwa na kuishi kwa hasira hasira

Huko Hai kuna mashoga? walitakiwa kuwa washamuua sabaya miaka mingi sana...why yuko hai? na Hai ni kitovu cha ujambazi na ugaidi nchini..(unabisha)???


Sabaya alifanya kazi vyema kabisa


Wala hafungwi, pambana kuongeza kipato tozo isikuumize, maana mlimsema JPM ...mkajua mama atawakumbatia kumbe balaa

Thats why kila post yako ni stress tu zinakusumbua
joined july 3 2021
 
Mjinga gani aandae tukio kubwa kwa ajili ya mtu duni kama Sabaya ? wadanganye wajinga
Ni kweli Sabaya hana umuhimu huo katika chama wala Serikali kiasi cha kuandaliwa tukio la kumuachia huru. Huyu ni jambazi tu na kwa kibri kubwa akiamini kuwa aliyemtuma ataishi milele aliacha alama nyingi sana katika matukio yake. Ukikubali kutumika kiboya ujue mambo yakiharibika huo ni mzigo wako mwenyewe.
 
Mpuuzi wewe

Sabaya na mnavyomsema hivi, mngemuua siku nyingi

wewe unanunua chuki za kuambiwa, ndio maana unaongea utumbo

mtaani vibaka wanachomwa moto, sabaya na ubaya wake kwa nini yuko hai mpaka leo hii? kwani nyie mashoga? yaani Sabaya alikufira kwa nguvu unasubiri serikali imfunge??

aidha tuhuma ni uongo mtupu
kama za kweli, jimbo la Hai wote wewe na wazee wako mashoga ..aje tarime aone
Umeandika ukiwa umekalia nini??
 
Back
Top Bottom