Sabaya Awatia Ndani Wahasibu ‘Waliopiga’ Ada za Wanachuo

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,175
Points
2,000
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,175 2,000
SAKATA la wanachuo wa Chuo cha Ualimu Moshi limechukua taswira mpya baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, kukutana na wadau wote waliotajwa kuhusika katika upotevu wa fedha za ada za wanafunzi walizolipa lakini hazionekani katika akaunti ya chuo hicho.

Hatua hiyo ni pamoja na kuwatia ndani wahasibu waliohusika katika mchakato ambao pesa hizo zilipitia.

Wanachuo hao zaidi ya 400 waliandamana juzi (Jumatatu) na kuziba barabara kushinikiza kulipwa fedha zao zaidi ya shilingi milioni 72 zilizolipwa kwa ajili ya ada kupitia wakala wanaojulikana kwa jina la ELCT-ND SACCOS Tawi la Moshi huku fedha zikiwa hazionekani kwenye akaunti ya chuo.

Baada ya kuwasikiliza wanafunzi hao, uongozi wa chuo,uongozi wa benki ya CRDB BANK,na kuwahoji wahasibu wa pande zote (chuo hicho na ELCT-ND SACCOS) Sabaya amewapa nafasi wahusika wote kukutana na kupitia kumbukumbu za nakala zote ili kujiridhisha kiasi kamili cha fedha zilizopotea ili Alhamisi wiki hii, pafikiwe mwafaka wa fedha za wanafunzi hao kurudishwa.
 
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,250
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,250 2,000
dah hii michezo wanaifanya sana hasa nakumvuka wakati ule nasoma kwa pesa ya boom unakuta mnakaa hata mwe, mzma bila kupewa hela zenu kumbe watu wanazizungushia kwenye biashara
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
6,224
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
6,224 2,000
Afadhali madogo nao wapate haki yao usawa wa hela mgumu
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,874
Points
2,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,874 2,000
Wametiwa ndani kwa ushahidi kupatikana au ni Yale Masaa yao 48 ya kukomoana
 
M

Mtemi Milambo

New Member
Joined
Aug 17, 2019
Messages
3
Points
45
M

Mtemi Milambo

New Member
Joined Aug 17, 2019
3 45
Afadhali madogo nao wapate haki yao usawa wa hela mgumu
Ni kweli. Hivi hela iliyoko benki inaanzaje kupotea? Hapo wanaohusika ni wale wote waidhinisha fedha(signatories) kwa maana pesa haiwezi Kutolewa bila sahihi zao.
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,117
Points
2,000
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,117 2,000
Haka kajamaa watu wanakabeza sana lakini kana vitu flani hivi amazing, ukijichanganya anga zake unakwenda na maji
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
16,682
Points
2,000
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
16,682 2,000
Hizo fedha kama zililipwa kweli itafahamika tu zimeyeyukia mikononi mwa nani..
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,159
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,159 2,000
Safi sana... na ikithibitika wamezipiga, wafungwe...


Cc: mahondaw
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
2,283
Points
2,000
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
2,283 2,000
Haka kajamaa watu wanakabeza sana lakini kana vitu flani hivi amazing, ukijichanganya anga zake unakwenda na maji
Vitu amazing?

Labda tukamuulize yule jamaa mwenye hotel aliyekua anamlazimisha ampe pesa labda aliviona hivyo vitu amaizing.
 

Forum statistics

Threads 1,336,607
Members 512,670
Posts 32,545,026
Top