Sabaya Awataja "mamlaka ya Teuzi" na "makamu" Je nao Wawajibishwe?

hivi hizi familia kuna ugomvi?
Kweli kabisa Nyerere Day inakuwa Magu day?
Basi waifute tu hiyo Nyerere kwenye PUBLIC HOLIDAY ACT na waiweke MAGU DAY tujue moja.
Siyo kwamba hawajui Nyerere day, ni kukosa heshima tu Kama ambavyo wamekosa heshima kwa sanduku la kura. Kawaida sanduku la kura ndilo hutoa MATOKEO ya nini wapiga kura wameamua waongozwe na nani ,lakini kinachofanyika sasa hivi wananchi wanaamua hivi, wao wanapindua watakavyo. Walivyokosa heshima kwa sanduku la kura, NDIVYO sasa wamekosa heshima Nyerere day, Mama Maria anapelekwa kwingine!
 
Back
Top Bottom