Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

Ule udhalimu aliokuwa anaufanya anadhani ulikuwa hauonekani? Huyo Sabaya alikuwa ni muovu hata kabla ya kupewa madaraka, alipopewa madaraka na muovu mwenzake, ndio akapata nafasi ya kutenda uhayawani wake kwa kisingizio cha uzalendo.
 
Kama ni kweli hao wengine tunaojua walifanya mabaya zaidi ya Sabaya hawatashitakiwa basi nami nabashiri kuwa Sabaya hata tumikia hicho kifungo kwa muda mrefu, atapata msamaha!!!
Wengine kina musiba walikuwa wanapepet
a midomo tu ,, sabaya yeye anakata masikio na kupora pesa unategemea nini?
 
lakini kwa hapa Tanzania mimi nimeishi miaka ya kutosha siamini kama aliyedhulumiwa na serikali zetu anaweza kupata haki.
Ni kweli kabisa kwani mimi nina mfano hai wa Mkuu wa mkoa mstaafu anadai malipo yake toka halmashauri ya HAI zaidi ya miaka 10 na kila anapodai anapigwa chenga!!! It can only happen in Tanzania ambako retirees are never respected!!
 
Unatumikia serikali kwa kufanya ujambazi!?vuna ulichopanda

Serikali aliyokuwa anaitumikia ilifanya uovu mwingi sana chini ya kiongozi muovu, mpaka akaamin uovu ni sehemu ya sifa ya kuitumikia serikali, sasa ngoja ajue uovu haulipi.
 
..mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani?

Why him and not anybody else?
No doubt. Ndio maana sijashangilia sana kukamatwa kwa Lengai kwa sababu hakujabadilisha chochote.

Matendo ya Lengai yalikuwa state-sponsored terrorism, he was just one of many state henchmen. Bila dola iliyokuwepo kubadilika ghafla Lengai asingekamatwa, wote tunajua. Na dola ya sasa nayo inafanya maovu yake na kulinda henchmen wake.

Tujenge taasisi huru na zenye nguvu.

Katiba Mpya iseme mteule yeyote anaweza kuondolewa ofisini na taasisi nyingine iwapo mamlaka ya uteuzi wake inamlinda au inamtuma, kama Lengai. Mihimili mbadala, wanahabari, wapinzani, wananchi, wajipe nguvu ya kushinikiza uwajibikaji pale mihimili rasmi inapogeuza nguvu ya dola kuwa vyombo vya ujambazi wa kutumia silaha, kama Lengai na jeshi lake la polisi.

Kwa sasa, Waziri Mkuu anaweza kuondolewa na bunge ambalo halikumteua. Kwa nini Waziri Mkuu peke yake?
 
Haka kajamaa bwana.... yaani kanajiona kama kalikuwa ndio serikali yenyewe. Kuna Watanzania wengi wanakufa wakilitetea hili taifa na wanazikwa bila kelele. Huyu alikuwa na access na state machinery kwenye Wilaya yake, angeweza kutaka ulinzi kwa masaa 24 asingekosa, mbona anatuchezea akili.
 
Hiki kifala kilikuwa ki DC tuu lakini kimepora,kimetesa watu na ninasikia kimeua hata watu, imagine angekuwa Waziri au Raisi, pumbaf sana umbwa huyu sukuma ndani tuu
 
Angerekodi mazungumzo yao kwenye simu na hao waliomtuma kufanya uhalifu, leo angekuwa anapeta tuu. Maana ushahidi angekuwa nao kwamba alifanya uhalifu kwa niaba ya serikali.
 
Sabaya ana IQ ndogo kama ya Mende au Mbu
Hata amtaje Mbowe mara ngapi hata muweza ile team ya mawakili wake unaionaje?mpaka watu wanajikojolea sio mchezo alafu ni maaskari wakakamavu.
 
Back
Top Bottom