Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

Mwambie akuonyeshe RB ya polisi Kama alienda kutoa taarifa ya kutaka kuuawa na Mbowe,

Mwambie mume wako ameçhelewa asubili kunywa debe.
 
Note. Sabaya na Sirro ni mashahidi upande wa Mbowe si Jamhuri na Kibatala ndiye aliyeomba wawepo siyo Jamhuri.
 
Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.

Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.

Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?

N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.

Yaani itakuwa nchi ya ajabu kama mtu kama sabaya ambaye ni mtuhumiwa wa kutesa watu na kuiba pesa za watu eti ndiyo awe shahidi wa serikali! itakuwa kazi rahisi sana kwa watetezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom