Sabaya akionesha majonzi juu ya kifo cha Magufuli

I hope Mama Samia ataachana na vijana wa hovyo-hovyo kama Ole Sabaya.

Mama atafute vijana wenye weledi watakaolisaidia taifa mbele ya safari.

Sasa hivi hakuna wapinzani tena wa kushughulikiwa, maana yake Sabaya na wenzake wataanza kushughulika na wana-CCM.
DUA LA KUKU
 
Mama anaingia kwenye utawala kwa muhula tofauti... Kazi ya kuweka angalau mfumo , imefanyika..Sasa hivi mama anahitaji kujenga mfumo wa kuweka watu wenye aina ya staili ya uongozi wake anaoutaka..Hao walioharibu utu na kuwa sura ya utawala wa kikatili na ukoloni hawahitajiki kwa sasa na hawakuwahi kuhitajika ... Kama mama ataamua kuendelea nao, atakuwa amechagua fungu baya ambalo, litampa uzito kwenye kazi zake..Sasa hivi mama anahitaji watu weelevu kwenye maeneo mbalimbali, ambao wanamaono makubwa.. Wako wengi watanzania wa namna hiyo ... Naweza kutaja majina, lakini hatuendi na majina , tunaenda na majukumu ambayo, wanatakiwa kuyafanya...Ubunifu wa kuipeleka Tanzania mbele... JPM alichana msitu, mama kazi yake ni kukusanya mavuno na kuyatunza yasiharibiwe yakiwa shambani au wakati wa kuyaleta nyumbani.
 
Usisahau kuwa the New President ni True Muslim
Just to inform you tu kwamba pale juu; Dini huwa ni kwenye Public; kunako vikao na baadh ya utekelezaji wa mambo fulanifulani Udini sana hautakiwi; Ndio maana Hata muslim wa Pale huwa lazima asiwe na Itikadi kali sana, na Christian sio Deep Christian ( Mtu anayeweza kufanya balance ya mambo); SIo uingie pale uanze mambo ya Roho mtakatifu amenisemesha blah blah no
 
I hope Mama Samia ataachana na vijana wa hovyo-hovyo kama Ole Sabaya.

Mama atafute vijana wenye weledi watakaolisaidia taifa mbele ya safari.

Sasa hivi hakuna wapinzani tena wa kushughulikiwa, maana yake Sabaya na wenzake wataanza kushughulika na wana-CCM.
Mama Samia anampenda sana Paul Makonda nasubiri muda unipe jibu la yafuatayo.
 
Back
Top Bottom