Sabaya akionesha majonzi juu ya kifo cha Magufuli

I hope Mama Samia ataachana na vijana wa hovyo-hovyo kama Ole Sabaya.

Mama atafute vijana wenye weledi watakaolisaidia taifa mbele ya safari.

Sasa hivi hakuna wapinzani tena wa kushughulikiwa, maana yake Sabaya na wenzake wataanza kushughulika na wana-CCM.
Kuna vijana weledi, wana heshima na ni watendaji wazuri tu kama yule wa Mwanza, RC Mongella, na yule RC Mtaka wa Simiyu.
Hawana makuu, hawamwpnei mtu, ni waadilifu na wana hekima.
Hao mama Samia asiwaache wakaenda zao.
 
Ana uchungu kuliko familia.Kama hakujenga au alichukua mkopo Mkubwa dunia imemvalia bukta,Analilia kesho yake kinaota.
Hawa chawa yaani awaamini kabisa.
Chawa musiba aliowatukana na kuwakejeli ndio wameshika goli
 
Kuna vijana weledi, wana heshima na ni watendaji wazuri tu kama yule wa Mwanza, RC Mongella, na yule RC Mtaka wa Simiyu.
Hawana makuu, hawamwpnei mtu, ni waadilifu na wana hekima.
Hao mama Samia asiwaache wajaenda zao.
Mtaka apewe u VP yupo poa
 
Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
Sahau hilo,toka lini chawa akawa mfumo
 
Kazi ya sabaya, chalamila, zilikuwa ni kuwashughulikia wapinzani, nadhani mkataba wao ndo umeisha hapo maana hakuna tena wapinzani wa kuwashughulikia
 
Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
Ni sawa unavyosema lakini Hana uhakika,usishangae inaweza kuwa ndio mwisho wake pia,yeye Hana uhakika,wewe huna uhakika hata Mimi Sina uhakika.
Samia anaweza kuja na timu mpya kabisa au kinyume chake.
 
Waislamu awapendi dhuluma thus Mungu kawapa maisha marefu JK na Mwinyi.Hakika mama atatuondolea hawa majahili.
 
Back
Top Bottom