Sabasaba ni barua ya CCM ndani ya bahasha ya biashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabasaba ni barua ya CCM ndani ya bahasha ya biashara?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by locust60, Jul 8, 2011.

 1. locust60

  locust60 Senior Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wandugu naomba mnisadie kufahamu historia ya sabasaba na uhusiao wake na maonyesho ya biashara nimekuwa nikiangalia picha za matukio ya jana yaani 7/7/2011 kwenye vyombo kadhaa ya habari cha kushangaza kutokuwa na makazo au msisitizo kwenye habari au matukio ya biashara kitu ambacho kimenipa maswali ambayo ndio nahitaji msaada wenu.Moja kwanini siku hii iwe ni siku ambayo chama cha TANU ndio kilizaliwa?.Mbili kuna umuhimu wa kuwa na mapumziko kwenye siku hiyo?
   
Loading...