Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Miradi ya ujenzi wapewe TBA !
Ulinzi taasisi za umma wapewe SUMA-JKT !
Mikutano yote na warsha za Umma yatatumika maji ya UHURU ( JKT ) !
Taasisi yoyote iliyokuwa inapokea pesa za serikali, pesa hizo zirudi HAZINA !
Taasisi zote za umma tumieni NMB maana serikali ina HISA huko !
- Wakati yote hayo yakifanyika, SEKTA BINAFSI ni lazima ULIPE KODI hata kama ni kubwa kuliko mtaji wako !
- Kama yote hayo yanafanyika ni kwa njia gani BIASHARA ( SEKTA BINAFSI ) zitastawi ?
- Viko wapi viwanda 3,000 kwa mujibu wa Mwijage au bidhaa zao wanaonesha wapi ?
- Mbona sabasaba kumejaa mabanda ya Taasisi za Umma, UHAMIAJI, NSSF, NIDA, JKT, MAGEREZA N.k ?